Mkwawa, Kinjekitile, Abushiri na Mirambo: Biashara ipi iligharamia vita? Nini malengo ya vita zao?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:

-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.

-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.

-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.
 
Huwa najiuliza,
'
Unapoomuuza binadamu mwenzako unakua unafikiria nini?

Jamaa walikuwa na iman nyuma yao ambayo ilihallaisha hilo jambo.Ndio maana badala ya kuona aibu na huruma na kujitoa waliamua pigana vita ili kulinda biashara hiyo..Ndio iliwaleta wayao, wamanyema, na wengine pwani ya Africa Mashariki.

Wamalawi wanatuchukia sana kwa vile wanakumbuka babu zao walivyouzwa na wayao,na makabila mengine toka Tanzania.
 
Kila kitu ni utamaduni tu. Kwasasa baada ya utamaduni huo kuwa umefutwa au kupotea, inaonekana ajabu, lakini hapo zamani hiyo ilikuwa ni kawaida tu.
 
Ningependa jua tena ushujaa wa hawa tunaoaambiwa ni mashujaa.Hata leo nimemsikia Kingunge akiwaongelea.Bahati nzuri kasema nilichowahi sena hapa...ALIWAPIGA WAJERUMANI WAKAKIMBILIA DAR,WAKARUDI NDIO WAKAWASHINDA...Mzee km alikuwa hajui anachoongea,Mkwawa na wenzie waliwapiga wamisionary waliojaribu zuia biashara ya utumwa,wamaissionary walipokwenda shitaki ktk serikali ya kikoloni wakaja askari na kuwashinda hawa wauza watumwa?Swali nililopenda uliza KWANINI KINJE NA MKWAWA HAWAKUITWA MAJINA YAO YA KIGENI NA utangulizi wao?
 
Nicholas uko JF kusambaza na Ku promote udini ,we know your colours
udini upi zaidi ya waliofanya hawa jamaa?Udini upi unataka jificha nyuma yake kukwepa ukweli?kasome vitabu vyote duniani vyenye(Maana) visivyo vya madafu.km hukuta waafrica walioshirikiana na waarabu kuuza wengine na wote walihalalisha kwa kuwashika wasio na dini yao.Na Mkwawa .Abushuri, Kinje, Mirambo, etc walikuwa wauzaji wakubwa na walikuwa na shida na wamissionary na kuna mara waliwashika wanafunzi wa wamissionary(wakristu) hata wale ambao walikuwa wamekombolewa kwa kununuliwa na hao wamissionary jamaa waliwashika tena na kuwapeleka sokoni.Halafu Mkwawa kwa ushenzi mwarabu kwa ushetanni wake alishawishi auze askari wake akauza.Kinje kawaulize wamalawi wanatuchukia nini?Km si wayao ambao waliongozwa na huyo jamaa kuwashika wanyasa?Wamanyema kilichowaleta dar ni nini?
 
Last edited by a moderator:

Labda tusaidiane kidogo kuweka rekodi sawa,kwanza na declare sina interest na dini yoyote zilizoletwa na wageni, haya turudi kwenye mada sasa, ni hivi katika suala la biashara ya utumwa,uislamu au dini ya kiislamu imehararishwa hadi kwenye kitabu chao,na waliochangia kukomesha biashara ya utumwa na wamissionari wa kikristo,waislamu hawakupendezwa na hili na pamoja na kwamba ilishapigwa marufuku waarabu na waarabu weusi waliendelea na biashara hii kinyemela...utumwa umemdhalilisha sana mtu mweusi kiasi kwamba leo hii tuko hivi kwa sababu ya utumwa pamoja na kwamba kuna sababu zingine zimechangia.
 
well, kwanza usipende linda kweli kwa kulazimishwa kusema upo wapi ,siku hizi hadi waovu nao hutumia huo ujanja.Pengine ungesema wapi uislam unamlinda asiye mwislam?Hadi leo duniani kote hakuna mwislama ambaye hajui kwamba muislam hatakiwi mdhuru mwenzie km si issue ya dini,au kumshuhudia asiye muislam mahakamani dhidi ya muislam mwenzie.Kwa wenzetu haki ni relative si absolute.Waislama kuwaua wengine lazima wawe na sababu ya kuwatoa ktk uislam kwanza ndipo wawauea au kuwafanyia kitu.Tuweke hilo sawa,Mkwawa alipiga vita za kutanua himaya kwa lengo la kuchukua watumwa,na mkwawa alikuwa muislam mzuri sana,Kinje na wayao km walivyo manyema..hadi leo wanajiona kuwa bora kuliko wabantu wengine,na hata msikiti wao maalumu ulikuwa ni ktk misingi yao ya kuuza watumwa na kujiona wapo juu kuliko mapimbi wa dar.
 
Ngoja nimwalike bingwa wa Histohisia Tanganyika Mohamed Said anaweza kuchangamsha jukwaa.
Atakuja na blah blah..kuwa kinje alikuwa shujaa,mkwawa alikuwa shujaa....sijui alipigana na ukoloni..ila hatosema KUWA WALIKUWA MASHUJAA KTK MFUMO MBAYA ZAIDI UTUMWA...NA JIHADS bongo imepiganwa siku nyingi sana.Mkwawa aliwapiga wamissionary, wamissionary walipokwenda ktk serikali zao na kuzidai ziwape ulinzi kwa vile wanawalipa kodi na ni raia km wengine.Ndipo wakata askari wa serikali za kibepari.Ndipo hao Jihadist walipoonja joto ya jiwe akaamua jiua mwenyewe kuliko ashikwe na ------.....
 
Last edited by a moderator:
Jamani tupeni shule ys magamba kumbeee istoria yap ndefu eeh
Mzee hawa wanaovaa ibakuli vichwani wakikuambia mtu ni mtu mzuri,sijui ni shujaa,sijui ni mtetezi wa haki za watu..ujue alikuwa anafanya kwao na hivyo wao kuona kuwa ni sahihi.Wayao wamalawi wanawajua na kuwachukia sana..walikuwa wanakwenda kule kuwashika km swala..akina kinje walikuwa matajiri weusi enzi zile.....wamanyema hadi leo utawasikia dar wana sound tofauti na walijitengea kinamna..ila baada ya kufa utumwa..waliishi kimalaya zaidi na kuandika historia wanavyotaka.Abushiri na mirambo ni shida...ukiweza soma vyema mikataba na historia za wamissionary na hao jamaa utaona walidocument vizuri sana utumwa na hawa jamaa...na jinsi hawa jamaa waivyokuwa akivunja mikataba.
 
Ndugu yangu Nicholas hii historia yako mbona ni tofauti na ile ya Mohamed Said

Haha kwa vile ni mmojawapo ya wale waliopika kwa nguvu sana historia ya hii nchi...na kuwadi mkubwa wa wamanyema pale dar..anavyosifia msikiti wao maarufu wa kibaguzi.Anavyowasifia kuwa na ustaarabu mkubwa dar..na waswahili pekee walioishi km daraja la kwanza...anavyowasifia walivyokuwa wamumbika etc..bahati nzuri sana ..historia ya nchi haiwezi futwa hata na wajanja achilia mbalia wajinga...vijarida vya bongo vinaelezea sana umaarufu wa maumbile yaliyouzika sana ya akina mama wa kimanyema, masifa ya huyu mzee akidhani kuwa anawasifia kuwapeleka ktk ushujaa,yanawaanisha hawa jamaa wa Congo,mwenye akili atajiuliza nini haswa kiliwafanya wawe juu ya wengine...?sasa hivi hao jamaa wanapotea katikati ya dar inayokuzwa..walizoea kutawala watumwa na waswahili wa dar..wakiwatumikisha na wao kujikalia sasa last fight yao ni Simba na Yanga...baada ya JK wana exhaust kila walishcozwadiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu ni utamaduni tu. Kwasasa baada ya utamaduni huo kuwa umefutwa au kupotea, inaonekana ajabu, lakini hapo zamani hiyo ilikuwa ni kawaida tu.
Hizi mahakama haifai tena duniani....ni mahakama za imani ambayo ina vita na kila kitu duniani hata vitu vyake yenyewe...
 
Back
Top Bottom