Masaka hadi muda nina shawishika kuelewa kwamba kichwani u mtupu na kumejaa takataka .Kama huoni makosa ya Rostam kaa pemben tuache sisi tunao yaona tupigane mana CCM wala Serikali ya CCM hawawezi kumgusa kwa kuwa alikodisha helikopta na CCM kushinda Uchaguzi kiteto .
huyu masaka katumwa na mafisadi toka mwanzo mm naona anapinga sana na hoja zinazo wagusa mafisadi toka anaingia hapa JF namwona tu.
Unajua mkuu kwanza VODA gharama zao zipo juu sana ukilinganisha na mitandao mingine.Kwa hiyo hawafai....inabidi tuelimishe na jamaa zetu wahame voda kwani ni mtandao wa mafisadi.
Mimi nimesha wahamisha watu karibia 100 toka voda wamejiunga na tigo na zantel na hawa 100 nao wanawashawishi wenzao sasa.
Madhara ya muda mrefu baada ya kususia vodacom yatakuwa yapi?
Bora kugomea mashirika yote ya simu hapo Bongo, kwani kwa namna moja ama nyingine yamehusika na yanaendelea kuhusika na ufisadi.. Ni bora kurudi kwenye Land line... na hawa ni wafisadi vilevile.. Heri kuachana kabisa na mawasiliano ya simu zao, ni bora kurudi nyuma kimfumo wa maisha kuliko kuendelea kupata huduma zenye harufu ya kifisadi...
Kwa hilo la vodacom siafiki kabisa.....labda kama tumeishiwa mambo ya kufanya....na hoja zenye mvuto na kujadili mambo nyeti...kuyatafutia ufumbuzi.....
MMhm..As your signature suggests, save water drink what....vituko vya zenj. Naomba wakati mwingine uwe unaviweka kwenye http://ashawazenj.blogspot.com au kwa kuwa wewe CCM hutaki majamvi ya wapinzani wako?
Asha
Mimk nafurahi kutangaza kwamba jana hadui leo asubuhi nimewaondoa watu 15 toka Vodacom .Niliwanunulia wachache like jana na leo nimenunua 3 za Tigo.
As your signature suggests, save water drink what....vituko vya zenj. Naomba wakati mwingine uwe unaviweka kwenye http://ashawazenj.blogspot.com au kwa kuwa wewe CCM hutaki majamvi ya wapinzani wako?
Asha
Kama huafiki toa sababu za wewe kukataa haya ni mawazo yangu na wewe unasema huafiki bia ya sababu , mie nimesema naafiki na sababu nimetoa .Tusaidie kuelewa sasa .Mambo ya kufanya yamekosekana ? Hili ni jambo zito ila inategemea wewe jambo zito kwako lina nini .
Kenya waligomea hata vyakula kwenye supermarket when they felt kwamba pesa zao zilienda kwa Kibaki na zikatumika kuwanyima haki yao .Tanzania Rostam Aziz kila kukicha ana wezi mpya lakini iko kimya na support anapewa .Sisis tuna lalamika lakini bado tunatumia huduma za simu za Vodacoma ambazo yeye ni mmoja wa share holders .Kama tuna uchungu kweli na huyu ambaye analindwa na CCM na serikali yake , tuhamie sote kwenye tigo ama zantel ama Celtel .Hii itakuwa njia nyingine ya sisi kuonyesha kwamba tumechoka kuibiwa na kuzidi kukamuliwa kila mara .Mimi nimesha hama na huhu unakaribia mwaka tangia nimejua kwamba Rostam anatumaliza bado na vodacom yumo .Mie natumia Zantel sasa na Celtel .Je wewe unangoja nini ?Tuambiane tuachana nao hawa .Wanatuona wajinga katika maamuzi yao je waendelee kutuona wajinga hata katika pesa zetu wenyewe za kutumia katika simu ?
Alphatel ni Fredrick Lowasa ambaye tayari kuna malalamiko jinsi alivyopata exclusive license ya kutengeneza card za simu kwa mchangamanuo ambao marehemu mtoto wa Mengi aliubuni, andika na kuuza kwa serikali kwa muda mrefu ili aweze kuanzisha hiyo biashara pasipo mafanikio.