Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,627
teh teh teh...au walikua mapacha wale???
Wamejishughulikia si unasikia ni mmoja wao walikuwa wanatuzuga
Wamejishughulikia si unasikia ni mmoja wao walikuwa wanatuzuga
Tunasubiri mheshimiwa!
Mkuu najua kwamba watu mnatuenjoy alafu baadae mnarudi tena kututusi. So nyie endeleeni tu mfurahishe nafsi zenu . . . .mfaidike na mnachokitaka weeee then the days go on na mwisho wa sekunde mhesabu faida zenu!!Siku zote kumbuka rafiki yako ndio adui yako ... baadhi ya mashosti wenu na ambao wako mstari wa mbele kuchatna kumention watu kibao kwenye thread moja ndio ananitumia mimi message na mbinu za kuwaumbua chit chat..... Kisa yeye hataki wamjue.... Nimewaambia hivyo ili niwaambie tu kama mlifikiri kazi imeisha kumuangamiza swahiba wangu mary hunbag basi mmenoa... na sasa hivi kanitumia message akiwacheka ma leo tu kaanzisha thread... na alikuwapo white party...bado mna safari ndefu.. bado mna nyoka lenye ndimi 7 ... mbaya zaidi linawajua vizuri...teh tehte nilale mie kesho kazini