Mkuu Zubedayo_mchuzi,masaa 24 bado?

Mkuu Zubedayo_mchuzi,masaa 24 bado?

Weeh na kamati yako ya ndoa, huyu multiple alikuwa mke wa nani kabla hajaanza kujichanganya?
Invisible, kama kuna siku umenipa raha ni leo! Aisee!

Si walichumbiana na stevoh mie nikiwa selo za JF..!?, niliporudi nikauliza kama walipitia kwenye kamati ya Screening!? Marry Hunbig kazugazuga kapoteza lengo, akawa anamhimiza stevoh waharakishe mipango ya ndoa, jana stevoh kalia humu balaa, kwake white party ilikuwa dark party baada ya kugubikwa na wingu la kughiribiwa na mwanaume aliyejiweka katika mahadhi ya kike, mods wameunganisha Ids imebaki moja ya Marry Hunbig, sasa sijui akiingia humu tumuite kaka sijui dada!?? unajua ni kizungumkuti ati....!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna kituko hapa ukielewa utavunjika mbavu, kifupi Mzungu Mndali na marry Hunibig imegundulika ni Id za mtu mmoja na zimeunganishwa na kuwa moja ya Marry Hunbig, sasa angalij kwenye huo uzi alivyokuwa anaanzisha mada na kujijibu mwenyewe kabla hajagundulika na kuumbuliwa

Eeh!
Sasa mbona tutaogopa hata kuchumbia humu!!
 
Last edited by a moderator:
We Arabela we m bayaaaaa!!!!! ndo nini kutonesha donda la mwenzio......, unamuumbua mzungu wa watu teh tih tih kwi kwi kwiii!!!!!

hahaha yani now ndo nashtukia mchezo. Jaman binadamu hawatabiriki
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wananiambia na mimi nina id mbili eti wanasema mimi ni buchanan duh
 
Nina data kibao za kebbys hotel waambie na hao wenzako we are coming...

Kumbe umezipata eeh!, hii ndo chit chat banaa, tukiamua kitu kinafanyika, hatuna longolongo wala stress, unashangaa ya Kebby's, ya Brajec, Leo tupo hapa pub je.....! sie ni full kujiachia, sio kila siku uko nyuma ya keyboard tuu!!!!
 
Kumbe umezipata eeh!, hii ndo chit chat banaa, tukiamua kitu kinafanyika, hatuna longolongo wala stress, unashangaa ya Kebby's, ya Brajec, Leo tupo hapa pub je.....! sie ni full kujiachia, sio kila siku uko nyuma ya keyboard tuu!!!!

Kweli siwalaumu nyinyi namlaumu jk aliyedanganya umma kuwa atatoa ajira millioni moja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom