Nimecheka sana, umejuaje kuna madarasa mpaka form lC?..nyie kweli ni walimu wa mwendo kasi! demu mwenyewe ukute ni mwanafunzi wenu wa form IC..!!
..hahahaaa kuna shule ambazo zinawagrade wanafunzi streams kutokana na uwezo wao kiakili A wanajiweza afu wamekaa kiusomaji zaidi na sura chungu ambazo hazitongozeki, B wastani, hapa kwa C sasa ndiyo wale vi-la-za waliokubuhu yan ata jina hawawezi kuandika ila kama ni msichana utakuta ana bonge la sura mvuto kama cleopatra, huko kichwani sasa ndiyo pazito kama tope linalokaribia kukauka! hawa ndiyo huyu mwl na headmaster wake wanawapigania mpaka kufikia hatua ya kutishiana na kuapply principle ya utanijua mimi ni nani![emoji15]Nimecheka sana, umejuaje kuna madarasa mpaka form lC?
[emoji23] [emoji23] [emoji85] duh! Mbavu zangu mie! Hao lC kwa Nina lingine in wagonjwa ambao wako ICU. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]..hahahaaa kuna shule ambazo zinawagrade wanafunzi streams kutokana na uwezo wao kiakili A wanajiweza afu wamekaa kiusomaji zaidi na sura chungu ambazo hazitongozeki, B wastani, hapa kwa C sasa ndiyo wale vi-la-za waliokubuhu yan ata jina hawawezi kuandika ila kama ni msichana utakuta ana bonge la sura mvuto kama cleopatra, huko kichwani sasa ndiyo pazito kama tope linalokaribia kukauka! hawa ndiyo huyu mwl na headmaster wake wanawapigania mpaka kufikia hatua ya kutishiana na kuapply principle ya utanijua mimi ni nani![emoji15]
amesema cheo shuleni like mtaaluma, discipline, mtunza stoo ndo cheo anacholilia eti hahaaaaSasa cha kujiuliza ni hivii
Je according to terms zako za ajira/mkataba wako wa ajira inajitaj muda gan upandishwe cheo? Ukipata jibu ,moja kwa moja nyoosha mpaka kwa afisa utumishi....
Mimi nilidhani wewe mwana jeshi ati kumbe mwalimu hongera sana. Kwani shule baada ya mwalimu mkuu na msaidizi wake kuna cheo gani zaidi?[emoji15]Habarini wana jf.Nimeajiriwa mwaka jana kama mwalimu wa secondary,baada ya kama miezi mitatu kuna tukio lilitendeka japo sikuhusika ilionekana mi ndo chanzo.mkuu alikuwa mkali hadi akanitamkia "utabaki kuwa hivo hivo bila cheo chochote shuleni" niliumia sana na mpak sasa inajionesha live, pia ananidharau kweli.Nifanyeje waungwana na ndo nina mwaka mumoja kazini?
ingekuwa vyeema ukaainisha ilo tukio nadhan mzani ungekuwa vizuriHabarini wana jf.Nimeajiriwa mwaka jana kama mwalimu wa secondary,baada ya kama miezi mitatu kuna tukio lilitendeka japo sikuhusika ilionekana mi ndo chanzo.mkuu alikuwa mkali hadi akanitamkia "utabaki kuwa hivo hivo bila cheo chochote shuleni" niliumia sana na mpak sasa inajionesha live, pia ananidharau kweli.Nifanyeje waungwana na ndo nina mwaka mumoja kazini?
Mkuu wa shule amemwambia hatopata cheo hapo shuleni, cheo alichomaanisha mkuu wa shule ni mwalimu wa nidham, Mwalimu wa taaluma, makamu mkuu wa shule nkSasa cha kujiuliza ni hivii
Je according to terms zako za ajira/mkataba wako wa ajira inajitaj muda gan upandishwe cheo? Ukipata jibu ,moja kwa moja nyoosha mpaka kwa afisa utumishi....
Ndo teaching allowance zetu hizoDa walimu wa siku hizi bwana .yani kuna walimu kazi yao ni kutongoza watoto wetu shuleni .kuna vijana waliajiliwa mwaka flani sasa wakawa wanatambiana kwamba umepelekwa mkoa ambao hauna mademu wazuri sijui watafundisha kweli hawa