Mkuu wa Wilaya ya Serengeti afariki dunia

inapokuwa issue gani tunatofatiana umoja wetu na Utanganyika wetu????

katika maswala mengine yote yanayohusu uendeshaji wa taifa, na hasa Umiliki wa rasilimali za taifa, ikiwemo sera ya uwekezaji na urasimishaji wa rasilimali za taifa (hapo ninyi mna maoni tofauti na sisi. Baadhi wanaona wakipata nafasi ya kuongoza nchi watafanya vizuri zaidi ya wengine (ingawa hiyo ni dhana tu)
 
Alifanya Madudu fulani huko alipokuwa kabla ya Serengeti!! Ngoja niflush back!! RIP after your long journey
 
R.I.P LYAMUNGU lakini amekuwa mkuu wa Wilaya Muda Mrefu kweli, toka niko PS juzi juzi alikuwa anaongelea kupambana

Na Ujangili naona ni GHAFLA... Nchi yetu tuanze kupenda kuhudhuria HOSPITALI Mara kwa Mara...

Oh najua Hospitali zipo Madaktari serikali ilifukuza... HATARI TUNAHITAJI KUWA NA GOOD HEALTH...


Sijui utaratibu wa kazi wa wakuubwa wa wilaya.....Fatma Mwasa kawa Mkuu wa wilaya mwaka mmoja ...kapandishwa cheo kuwa Mkuu wa Mkoa .....James Yamungu ...ni Kama vile alikuwa Mkuu wa wilaya wa Kidumu ...zaidi ya miaka 10 ......au 15 .....kazi moja ..Hadi anakufa hajapanda cheo ....,......kuna Ibrahim Msengi....naye ...,captain Ngatuni et al ...hawa wote walioanza Pomoja kazi na kinda DC Ritha Mlaki, DC capt Chiligati ... Au hata Kabla
Hivi vyeo vya kisiasa vifutwe ...havinaa mfumoo aw utumishi inategemea atakalavyoamka Rais ...
 
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Kapt. Mstaafu James Lyamungu amefariki dunia hospitali ya taifa Muhimbili.Taarifa rasmi zitawajia baadaye.


Chanzo ITV habari za saa.
 
James Lyamungu.jpg

Marehemu James Lyamungu
 
naomba kuuliza wadau....huyu ndo yule alikamtwa ndani ya hifadhi ya serengeti akichimba madini yeye pamoja na mkuu wa polisi wilaya na afisa usalama wa wilaya..ndio huyu??
 
naomba kuuliza wadau....huyu ndo yule alikamtwa ndani ya hifadhi ya serengeti akichimba madini yeye pamoja na mkuu wa polisi wilaya na afisa usalama wa wilaya..ndio huyu??

Hapana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom