huku lazima atatuma mwakilishi.yupo bilali ndo kazi zake hizo.kikwete lazima ethiopia.aisee jk wetu atakua busy sijui ataanzia msiba wa dc wake au atawahi ethiopia...poleni kwa wafiwa
Pole sana wafiwa kazi ya mungu.
inapokuwa issue gani tunatofatiana umoja wetu na Utanganyika wetu????Linapotokea suala la Kifo, sisi sote ni watanganyika, tuache tofauti za kisiasa. Poleni sana Wana Serengeti, Poleni sana watanganyika, RIP DC.
Mkuu SENGEREMA NA SERENGETI ni vitu viwili tofauti!
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Afariki dunia.
Anaitwa Captain mstaafu James Charles Lyamungu.
Source ITV
Sio aliyekuwa, kwani hd wkt anafariki, alikuwa bd ni DC Serengeti, kabla ya reshuffle alikuwa Maswa.
Na vp ghafla?
Kafia Muhi2, it means alikuwa anaumwa, kapewa referal toka lake zone hadi Dar, kafia Muhi2, halafu wadai ni ghafla?
Au alikuwa Dar kikazi,
akaanguka ghafla na kukimbizwa Hosp?