Mkuu wa Wilaya ya Serengeti afariki dunia

aisee JK wetu atakua busy sijui ataanzia msiba wa DC wake au atawahi ethiopia...Poleni kwa wafiwa
 
Aliaga nae ataagwa!!!.....Amen

IMG_0420.JPG
 
RIP my friend Capt Yamungu nimepewa taarifa za kifo chake sikuamini hadi hapo nilipoingia jf ndo nimeani.Tangulia sisi tuko nyuma yako.Poleni sana wanafamilia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom