TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

DC kaugua kwa muda mfupi; naomba mniache niweke ujumbe wa vifo vya Ndassa, Mahiga na huyu DC wa Nyang'wale. Hawa wamekufa baada ya KUJIFUKIZA NA KUBANWA PUMZI.

Kujifukiza kunaua watanzania tena wenye vyeo wamefuata ushauri mbovu wa Rais Magufuli. Tunamaliza watanzania wenzetu aslani.

Tumewapoteza wafuatao kizembe kabisa baada ya kuharibu njia za hewa kwa kukifukiza.

1. Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera Bwana Pendo
2. Mbunge Richard Ndassa
3. Waziri Dkt. Mahiga
4. Huyu DC wa Nyang'wale

Pia kuna jopo la watu kibao wamenusurika kufa kutokana na janga hili!
Za kuambiwa changanya na za kwako na hio ndio maana yake.

Cha ajabu mtu anayekupa ushauri huo yeye katuma mzigo ufuatwe toka kwa babu wa madagascar🤣🤣🤣
 
Wenyw hawatak washatuona kama ile misukule yao wanayoifuga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa ni wa kupuuza. Tusiwaache kutuamulia sisi na wapendwa wetu na taifa zima kuangamia kwa sababu ya maslahi yao binafsi au ujinga wao

Wasitutoe kwenye mada.

Tunataka mkakati wa kuutokomeza ugonjwa huu hapa nchini. Kama wao hilo hawataki watuambie wanataka nini.
 
COVID 19 anacheza ndani ya kasari la Malkia wa Uingereza itakuwa Chato? Unafikiri wakati huu nani ambae yupo na usalama 100% kuwa hawezi kukumbwa na janga la corona?

Usitukane wakunga na uzazi ungalipo - Bi Kidude.
kasri.

hizo shule muwe munasomea vitu vya maana
 
Siku hizi tatizo la upumuaji limegeuka kua kuugua kwa muda mfupi, ni terms tofauti ila jua wanamaanisha kitu kilekile corona
 
Hawa ni wa kupuuza. Tusiwaache kutuamulia sisi na wapendwa wetu na taifa zima kuangamia kwa sababu ya maslahi yao binafsi au ujinga wao

Wasitutoe kwenye mada.

Tunataka mkakati wa kuutokomeza ugonjwa huu hapa nchini. Kama wao hilo hawataki watuambie wanataka nini.

Kaa Ndani tu. Unataka. Mkakati Gani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANINAA NCHIHII
UKIFA BAADAYAMDA MFUPI
COVID AKA UPUMUAJI
MUDA MREFU NGOMAAA
WASEMEMDAWAKATIKATIBASI TUWASIITIRI MAREHEMU
 
Kifo cha huyu DC ndio kimefanya bingwa kakimbilia Rubondo ...sasa atakimbia mpaka lini >? kuna kazi anatakiwa awepo Situation Room kama CIC ..Ikiwemo Corona na kinachoendelea mpakani na Msumbuji ....
 
Back
Top Bottom