this is the silliest doc i have ever seen,that is why he got married to the witch!!!!!
this is the silliest doc i have ever seen,that is why he got married to the witch!!!!!
mkuu kwani ulaya hakuna walimu!Huyo mkuu wa Wilaya anawazimu...Yeye aliipata wapi elimu? au alisoma ulaya...
Huyo mkuu wa Wilaya anawazimu...Yeye aliipata wapi elimu? au alisoma ulaya...
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".
alisamehewa,
hii ilikuwa kwenye semina za sensa wala hii siyo habari mpya
Huo udokta wake alifundishwa na walimu waliofeli kwa hiyo ina maana na yeye ni dokta aliyefeli. Ngoma droooo...!!
this is the silliest doc i have ever seen,that is why he got married to the witch!!!!!
Alichoongea ni kweli. Nitajieni mwalimu wa primary mwenye walau div 3. Wote failure.
Alichoongea ni kweli. Nitajieni mwalimu wa primary mwenye walau div 3. Wote failure.
Mbona wakuu wa wilaya na mikoa ni kazi ya walioshindwa kwenye kura za maoni na ubunge lakini wanalipwa vizuri? Manesi nao wana elimu gani tofauti na walimu? Tena tujiandae kuwa taifa la viwete muda mfupi ujao kwa kuchomwa sindano pasipostahili maana mpaka div 4 za 33 wanachaguliwa kusomea unesi, angalau ata ualimu wana limit ya paint 26.
Siyo manesi tu mkuu,na maafisa tabibu ukiwa na 4 ya 27 tu form four unaenda somea diploma ya uafisa tabibu
Huyu DC mwehu. yeye anadhani anawatukana walimu kumbe anamtukana boss wake JK aliyekubali wenye pt 28 waende ualimu tena kwa mtindo wa vodafasta.
Usamehewe bure kichwa yako na mkuu wa wilaya mwenye phd ya kupewa sawa tu. Unafikiria kwa ****** sio bure.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums