Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

Mbona wakuu wa wilaya na mikoa ni kazi ya walioshindwa kwenye kura za maoni na ubunge lakini wanalipwa vizuri? Manesi nao wana elimu gani tofauti na walimu? Tena tujiandae kuwa taifa la viwete muda mfupi ujao kwa kuchomwa sindano pasipostahili maana mpaka div 4 za 33 wanachaguliwa kusomea unesi, angalau ata ualimu wana limit ya paint 26.

ndio maana mnafeli. Uzi unahusu waalimu.
 
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".

hapo hakuna tusi. Tatizo wabongo mkiambiwa ukweli mnadai mmetukwana! Toka lini "kufeli" ikawa ni tusi.
 
ndio maana mnafeli. Uzi unahusu waalimu.

Acha dharau dogo kwa watu usiowajua, kiwango changu cha elimu sidhani kama unakikaribia, huyo DC wa chama cha wanaojipendekeza kwa wakubwa amehusianisha mishahara midogo ya walimu na kufeli ndio maana nikaringanisha manesi wenye elimu ndogo zaidi lkn wana mishahara mikubwa kuliko waalomu.
 
Alichoongea ni kweli. Nitajieni mwalimu wa primary mwenye walau div 3. Wote failure.

Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli,ni kweli kwamba walimu wa sasa ktk shule zetu za msingi ni wachovu mbaya,no shule! Hawana tofauti na wakuu wa wilaya na mikoa ya sasa. Wote vilaza wa ajabu!
 
Alichoongea ni kweli. Nitajieni mwalimu wa primary mwenye walau div 3. Wote failure.

Usiongee usichokijua,mimi binafsi ualimu ni profession yangu ya kwanza baada ya kupata Div 2 Form Six,na sikupenda kuishi mijini kama wengi wanavyofikiria niliamua kwenda kufundisha kijijini kabisa ambapo kunafikika wakati wa kiangazi tu...Msimu wa mvua ukianza basi tunabaki hukohuko mpaka mvua ziishe ndio tunaweza kwenda tena wilayani
 
Kuna mwl mmoja namfahamu, elimu yake yakuunga unga. Advance amesoma 4yrs, baadae akaenda kuchukua degree SAUT. Wanafunzi wanamuita "mwalimu", wanategemea wanafunzi wapate A. Huyu nae anasimama anadai maslahi.

Huyu mkuu angepaswa aseme, waalimu wanapewa nafasi hizo kama fadhila hivyo wanapaswa kushukuru. Hawana pakwenda.

Waalimu wenyewe wanachofanya ni kutafsiri English to Kiswahili.

Hivi hiyo kazi unayofanya wewe wote wamefaulu? Acha ujinga wewe inaonekana wee ndo wale wale wa kukaa chimbo tu kusubiri msuli pepa. Useless kabisa cn u think hata kidogo tu. Mi mwl na sikuwahi pata hata 3. Nilifaulu vizuri tu kwa 1. Point 13 na 2 point 10 f4 na 6 respctvly. Acha kukariri idiot!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mleta mada anazungumzia waalimu. Kama unataka tuzungumzie manesi, anzisha uzi wako.

Aliyezungumzia manesi nani wewe? Wee ndo uko nje ya uzi na kama ulifundishwa na waliofeli ni ww mimi ckufeli tusitafutiane ban asubuhi asubuhi hii. Cheza hata game kwa simu yako huna hoja ww. Inaonyesha ulifeli ndo maana unalaumu waalimu. Get back to work.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Walimu msiwe wa ajabu hata iyo kauli ni ya kuandamana? Alishaomba msamaha walimu walipogoma na kurudi waliposikia Sensa. Ni mwakilishi wa Rais aliyemuweka

Hapo kwenye RED; ina maana na ana akili sawa na aliemuweka?
 
Acha dharau dogo kwa watu usiowajua, kiwango changu cha elimu sidhani kama unakikaribia, huyo DC wa chama cha wanaojipendekeza kwa wakubwa amehusianisha mishahara midogo ya walimu na kufeli ndio maana nikaringanisha manesi wenye elimu ndogo zaidi lkn wana mishahara mikubwa kuliko waalomu.

nitake radhi, kwa umri nilionao haupaswi kuniita dogo.
 
Usiongee usichokijua,mimi binafsi ualimu ni profession yangu ya kwanza baada ya kupata Div 2 Form Six,na sikupenda kuishi mijini kama wengi wanavyofikiria niliamua kwenda kufundisha kijijini kabisa ambapo kunafikika wakati wa kiangazi tu...Msimu wa mvua ukianza basi tunabaki hukohuko mpaka mvua ziishe ndio tunaweza kwenda tena wilayani

na we ni mwl wa shule ya msingi?
 
kwa hili walimu walipaswa kuungana pamoja ili kutoa fundisho kwa mkuu wa wilaya huyu na wale viongozi wote wenye kuropokaropoka
 
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".

Kwa hiyo na hayati Mwalimu Julius Kambalage Nyerere alikua amefeli??
 
nitake radhi, kwa umri nilionao haupaswi kuniita dogo.

Unaweza ukawa na umri mkubwa lkn mawazo yako yananisukuma nikuite hivyo. Nchi zote zilizoendelea zilifanya hivyo kupitia elimu sasa kama viongozi wa serikali yetu inaruhusu kwa makusudi waliofeli ndio waendeshe elimu basi wao ndio wamefeli zaidi na wanatuangamiza. Prf Mwakyusa alipendekeza bungeni div 4 iondolewe kwenye daraja la ufaulu nami namsapoti lkn serikali imempuuza sababu ya kupenda cheap labour na sifa za kisiasa,waalimu,polisi,watabibu,bw shamba wote wanachukuliwa kwa kigezo cha div 4
 
Hivi hawa watu wanatolewa wapi, siamini DC anaweza akawa hivi. PhD without commonsense is nonsense. Liwalo na Liwe.
 
Kweli waalimu hatuna hadhi, bt nimefundishwa na hawa waliofeli mpaka leo hii nina jiwe. By the way waliofaulu vizuri ndio walipaswa kuwa walimu, lakini mshahara ni mdogo(na huu ni udhaifu wa serikali ye2). Dawa co kutoa maneno ya kejeli bali ni kupandisha mishahara ili kuwe na comptition na wachaguliwe wa2 wazuri kama kazi nyingine! Kila kukicha waalimu wanaacha kazi ya kufundisha na kufanya kazi nyingine!
 
Back
Top Bottom