Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".
 
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".

jamaa ameporomoka hadi basi, kuna wakati alikua mbunge was east africa. sasa amerudi chini hadi kufiki ukuu wa wilaya, such a useless position
 
Hivi kumbe tuna viongozi kama hawa bado???any way, source please
 
Huo udokta wake alifundishwa na walimu waliofeli kwa hiyo ina maana na yeye ni dokta aliyefeli. Ngoma droooo...!!
 
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".
Kama ni kweli waalimu waandamane washinikize huyu jamaa aondolewe, hili ni tusi la mwaka kwa taaluma ya ualimu.
 
duh!! hakyanani hata mimi sikuibamba hii kashfa. huyu dc mpuuzi hana akili nzuri. mimi ndo maana siwaamini hawa viongozi wa ccm, wote wanafanana tu, na wanatudharau sana wananchi,. yaani wao wameshatuona sisi watanzania ni hamnazo. hawaishi kututukana directly na indirectly kila kukicha. watanzania inabidi tuiadabishe ccm ili iwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kuwaheshimu watanzania. hawa ccm hawatuheshimu kabisa watanzania, kauli kama hii inadhalilisha watanzania wazalendo wa nchi hii, maana inaonyesha dharau kwa waalimu na tusi kwa watanzania ambao wanawategemea hao waalimu kwafundisha watoto wao. hizi kauli, hakika hazitakiwi kuvumilika, halafu mbona waalimu hawakuandamana kushinikiza huyu dc mjinga kuwajibishwa???.
 
kwani walipata zero mpaka awaite kuwa waliferi? Huyo Sigara ni pashkuna mkubwa ndo maana kaishia kuwa mkuu wa wilaya pamoja na udokta wake amekazania kulamba miguu ya wakubwa ili angalau adondoshewe hata tonge chini ya meza
 
Walimu msiwe wa ajabu hata iyo kauli ni ya kuandamana? Alishaomba msamaha walimu walipogoma na kurudi waliposikia Sensa. Ni mwakilishi wa Rais aliyemuweka
 
Mkuu wa wilaya ni sawa sawa na clerk wa uda tu. Anawatusi walimu kwa vile hajui yeye alifundishwa na nani mpaka akapata hiyo PhD yake feki. Shame on him. Walimu msikatishwe tamaa na huyo mpumbavu, kwani kudai haki yako yakubidi uwe na kiwango gani cha elimu?
 
Je watoto wa huyo mzee wanasoma? wanafundishwa na nani? Madaraka yanawapa kiburi sana viongozi wetu
 
Back
Top Bottom