Mkuu wa Mkoa wetu anahitaji Mshauri Nasaha. Anatembea haoni pa kushika, anapapasa usiku wa giza nene

Lakini amewajeruhi kidogo...Hata kama atashindwa amejaribu tena kwa gharama ya maisha yake. Damu yake haitapotea bure!
Nyie ndio mnaowatia watu hasira mpaka wanamkazia,atoe ushaidi kwamba yanayoongelewa sio kweli.Hatutaki maneno matupu.
 
Mimi katika vita hii nitaanza na huyo mchungaji fake anayelichafua jina kuu na takatifu la Yesu. Distorter na deceiver wa watu wa imani. Kwa hakika huyo ni size yangu katika ulimwengu wa roho...hawezi kutukana jinabla Mungu ninayemtumikia mimi akabaki salama. Kama nilivyompinga kwenye nabii zake za uwongozi safari hii namjulisha kabisa, yupo Mungu aliyehai ambaye Ame anamtumikia nami nitalithibitisha jina lake kuwa halifanyiwi mzahaha wala kutumiwa kwa faida binafsi...Huwezi kuwa mtumishi wa Mungu ukafanya jinsi afanyavyo huku akifahamu fika wakati mwingine ili taifa lipone lazima kuwe na wakujitolea. Kama alikuwa na uhakika hana tatizo kwanini asingetumia nafasi hiyo kupigana dhidi ya watu wa haribu wa vijana wetu katika jina la Yesu kwa mfano uleule wa Bwana Yesu wa kubeba uovu ili wanadamu wapone? Yeye badala yake kachagua kupigania jina lake, OLE yake ni kubwa!
 
Ni maajabu na kweli Pale mbabe wa vita anapoangusha chozi la msibani kisa kaambiwa leta vyeti Daudi.
 
Mimi katika vita hii nitaanza na huyo mchungaji fake anayelichafua jina kuu na takatifu la Yesu. Distorter na deceiver wa watu wa imani. Kwa hakika huyo ni size yangu katika ulimwengu wa roho...hawezi kutukana jinabla Mungu ninayemtumikia mimi akabaki salama. Kama nilivyompinga kwenye nabii zake za uwongozi safari hii namjulisha kabisa, yupo Mungu aliyehai ambaye Ame anamtumikia nami nitalithibitisha jina lake kuwa halifanyiwi mzahaha wala kutumiwa kwa faida binafsi...Huwezi kuwa mtumishi wa Mungu ukafanya jinsi afanyavyo huku akifahamu fika wakati mwingine ili taifa lipone lazima kuwe na wakujitolea. Kama alikuwa na uhakika hana tatizo kwanini asingetumia nafasi hiyo kupigana dhidi ya watu wa haribu wa vijana wetu katika jina la Yesu kwa mfano uleule wa Bwana Yesu wa kubeba uovu ili wanadamu wapone? Yeye badala yake kachagua kupigania jina lake, OLE yake ni kubwa!
Ndio nini hii?
 
Inahusiana nini na vyeti feki?
 
Nyie ndio mnaowatia watu hasira mpaka wanamkazia,atoe ushaidi kwamba yanayoongelewa sio kweli.Hatutaki maneno matupu.
Hizo hasira zingelekezwa kwenye ngada ningefurahia sana...lakini hizo zingine sina msaada, acha wakasirike. By the way either una hasira au hakuna vyeti si lazima viwe authentic? Kwani inahitaji kukasirika si kuna mamlaka inayo operate kisheria? Yenyewe inazuiwa na nani kuchunguza? Shida yangu ni distortion inayofanyika na justification zisizo na kichwa wala miguu. Kwani vyeti vinaondoa umuhimu wa vita ya dawa ya kulevya? Why are people so mad on obvious thing nakuacha kureveal tactics za drag lords ku operate safely? Waambie wakasirike mpaka wapasuke...
 
Mbona rahisi sana, msamaha wake uko miguuni mwake, ameshaelezwa sana hatua muafaka za kuchukua tena kwa busara kubwa. Kulia haitasaidia kitu wakati wengine wameshachukuliwa hatua.

Kuna watetezi wake wanaomdanganya kuwa cheo chake hakihusiki na mambo ya vyeti, hakika namuonea huruma kama nae atajaribu kuwa na hizo fikra, hiyo itakuwa grave mistake and political suicide.
We unamsema Paskali kinamna
 
Tatizo nchi haiendeshw kwakuoneana huruma, sheria ifate mkondo kikubwa asionewe hatakama amewahi kuwaonea wengine
 
Sheria haisemi ukiwa binadamu unaruhusiwa kufanya makosa ya jinai.
Labda kama unamaanisha mtindo wa double standards uendelezwe.
Hata mie nimewaza kama binadamu tungeweza kumsamehe lakini sheria inasemaje? kuna mama mmoja amefungwa miaka 28 jela kwa kufoji cheti cha unesi hivi karibuni lakini yeye yuko huru anazunguka makanisani na misikitini kupata huruma si sawa kabisa sheria ni msumeno ikate kotekote.
 
Jaman. Bashite whahaever alisimama na kusema watu kwamba ni wuza nganda sasa yeye aliwaumiza watu sana ni wakati wake nae alie
 
Bashite amekwenda na maji,

kwa sasa mkoa wa Dar uko chini ya Kaimu Mkuu wa mkoa bwana Hashim Mgandilwa ambaye ni DC wa kigamboni,
Bashite amesimamishwa kazi anachunguzwa ndiyomaana ameanza kulia-lia.
Wa jina wa mzee wa Koromije usije ukaambulia ban kwenye kipindi hichi nyeti cha kumkoma nyani bila kuangalia uso. Ni kweli?
 
Bashite amekwenda na maji,

kwa sasa mkoa wa Dar uko chini ya Kaimu Mkuu wa mkoa bwana Hashim Mgandilwa ambaye ni DC wa kigamboni,
Bashite amesimamishwa kazi anachunguzwa ndiyomaana ameanza kulia-lia.

unnamed%2B%252828%2529.jpg

Rais John Magufuli akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Hashim Mgandilwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Lindi na Mtwara jioni ya leo .Picha na Ikulu
 
Back
Top Bottom