Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Taarifa iliopo kisiwani Pemba nikua Mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba leo katangaza rasmi mkoa wetu kulala saa 2 usiku za majira ya Tz .
Hatakwamba tumetawaliwa kijeshi na kusibitisha kwa vitendo hivi kuwa tuko katika utawala wa kijeshi na vitisho zidi ya raia, hivi sasa lakini hii tena too much.
Hivi sasa hivyo vifaru na silaha nzito nzito zilizomiminwa Pemba utazani kama kuna kuashiria Pemba kuvamiwa kijeshi.
Ulimwengu na tasisi za haki za binadamu ziko wapi jamaani ? Jee hawajui kinacho endelea hivi sasa Visiwa vya Zanzibar ?
Tunawaomba ndugu zetu waliangalie hili kwa jicho la huruma hata kama wananchi wa zanzibar hawatopigwa miizinga ? Lakini hii kutembea mitaani vifaru na Jeshi inaashiria nini?
Jee inakubalika hii watu kuishi roho juu na wengine kupata maradhi ya pressure na moyo?.
Kwa nini viongozi wanatufanyia hivi na wanachokora shari ya mauaji kila kona au ndio wana jeuri ya Dola na silaha nzito nzito.
Ikiwa ni uchaguzi wao si wameshaashiwa goal au io haitoshi munataka kuwaua wazanzibar kwa lengo la U-ccm na u-cuf?
Mbona kwao Makufuli hatembezi vifaru mitaani na majeshi?