Mkuu wa Mkoa wetu anahitaji Mshauri Nasaha. Anatembea haoni pa kushika, anapapasa usiku wa giza nene

Mbona rahisi sana, msamaha wake uko miguuni mwake, ameshaelezwa sana hatua muafaka za kuchukua tena kwa busara kubwa. Kulia haitasaidia kitu wakati wengine wameshachukuliwa hatua.

Kuna watetezi wake wanaomdanganya kuwa cheo chake hakihusiki na mambo ya vyeti, hakika namuonea huruma kama nae atajaribu kuwa na hizo fikra, hiyo itakuwa grave mistake and political suicide.
Anaendelea kupigiwa salute kama kawaida hana shida na kelele za chura. Kulia ni sehemu ya ibada kwa walokole. Kwani ni makonda peke hulia kanisani? Mwaka huu mmeshikwa pabaya manyumbu hamna sera tena.
 
Ni vyema hili zoezi la kusamehe lianzie kwa rais aliyeapa kupambana na watu wenye vyeti fake na kuwatimua baadhi ya watumishi, msamaha huu unatakiwa uambatane na kuwarudisha wote waliotimuliwa kwenye nafasi zao na sisi tutaacha kumkumbushia kuhusu Bashite na sisi wala hatuna kazi ya kusamehe bali sisi tuna wajibu wa kumkumbusha mh rais majukumu yake
How do u forgive Jitu yenye roho mbaya vile
 
mhhhh!!! hapa hapendwi mtu hapa ni vyeti tu!! Hata ulie machozi ya damu weka mezani vyeti kwanza ndiyo tuongee!!!! Watanzania hatudanganyiki ng'oooooooo!!!!
 
Kama ni vita dhidi ya roho za kipepo ulikuwa unasubiri mpaka Daudi/Paulo atajwe ndio uanze kupambana?

Ana miaka mingapi anahubiri?hukuona sikuzote hizo mpaka uanze kupigana sasa?

Na kama ulianza kabla je umeishindwa vita hiyo mpaka leo wawe wanaendelea?

Vita vya kiroho vina kanuni zake na hazipiganwi kwa jinsi ya mwili. Mungu akusaidie.

Una uhakika na unachokisema? Fuatilia post zangu humu uone ni mara ngapi na kwa miaka mingapi nimeshampinga...Napinga na nitapinga tena na tena mpaka kupinga huku kufungue macho ya rohoni ya wanaopotoshwa...Hii ndiyo kazi yangu ya milele kupinga kila kijiinuacho juu ya jina la Yesu Kristo hadi kuangusha ngome falme na mamlaka zilizo kinyume, hadi kila kitu kiitikie Yesu ni Bwana!
 
Hivi karibuni nmekuwa nikifuatilia kwa makini sana hali ya Mkuu wa Mkoa wetu. Nikiangalia videos na picha mbalimbali akiwa misikitini,makanisani na sehemu nyingine za nyumba za ibada akiombewa kwa kila imani aijuayo.

Hii ni ishara ambayo kitaalam inaitwa desperate condition au stressful. Ana msongo wa mawazo mkubwa sana. Anajaribu kushika kila sehemu ni kama mtu ambaye anazama baharini halafu akaona jani la mwembe anaweza shika akidhani linaweza msaidia asizame.

Watanzania ni wakati wa kumsamehe ndugu huyu kwa kuwa inawezekana kabisa amekuwa akikosa mwongozo mwema katika shughuli zake na siku zote kujikuta akitumika vibaya. Na wanaomtumia katika shughuli zao za kisiasa hufikia hatua wakajikuta inabidi wabaki nyuma ya pazia.

Kama binadamu anakosea. La muhimu kwake ni kujifunza. Hali aliyo nayo si rahisi kama tunavyomuona. Hana amani hata kidogo. Jamii inapokutenga pesa si suluhisho au nguvu. Ni kuirudia jamii husika na kutengeneza nayo. Na unapokumbuka kuwa hata waliokuzunguka sasa ni kwa vile wanajua una nguvu ya dola ila si kwa mapenz ya dhat hili ni tatizo kubwa sana kisaikolojia.

Ni wakati wa kumsaheme na kuelewa kuwa naye ni binadamu kama binadamu wengine. Hivyo anakosea kama binadam mwingine yeyote.
Huwezi kumsamehe mtu alietumia cheti cha mtu mwngine kwan ni criminal offeemnce na kama kweli anatumia cheti cha mtu mwingine then hon.makonda is liable for the offence and if you forgive him, all criminals of his type should also be released from jails because to forgive him is to nullify and invalidate the law bound to such an offence. He faked, so let he be responsible like other normal citizens. Kukosa kwake raha hakuwezi tengua sheria angejua atakosa raha angeacha ku-fake cheti kwani wananchi wangapi waliolimwa miaka jera wenye makosa kama yake?unazan wao wanafuraha? Hata wao walipenda wasamehewe ila kwa sababu walfanya makosa ya jinai no way out afu wewe unakuja unaomba asamehewe! Yeye n nan kwnz,? Kila MTU atakula matapishi yake
 
Una uhakika na unachokisema? Fuatilia post zangu humu uone ni mara ngapi na kwa miaka mingapi nimeshampinga...Napinga na nitapinga tena na tena mpaka kupinga huku kufungue macho ya rohoni ya wanaopotoshwa...Hii ndiyo kazi yangu ya milele kupinga kila kijiinuacho juu ya jina la Yesu Kristo hadi kuangusha ngome falme na mamlaka zilizo kinyume, hadi kila kitu kiitikie Yesu ni Bwana!
Injili sio siasa,na vita ya kiroho haipo katika mwili.Kama utaenda kwa mwili utapingana hata miaka mia bila kuona matokeo kwa sababu yawezekana bila kujua unaingia kwenye kundi lao "wapingao imani tuliyoitiwa".

Yesu Kristo aliwaambia wanafunzi wale waliomuona mmoja asiyefungamana nao akihubiri injili, akawaambia neno kubwa lenye hekima ya kiungu, "asiye kinyume chetu, yu upande wetu".
 
Back
Top Bottom