Sisi tunasemea foleni na siyo hizo zako!!!!Hizi mada zingine ni chuki tu kwa Makonda.... Hivi foreni katika jiji la dar imeanza kipindi cha makonda? Mbona tangu kipindi cha hao kina kandoro foreni zilikuwepo!
Yeye anachokijua ni shisha,unywaji pombe,magasho....Mkuu, kwani Dar hali ipoje sasa? Mie naona wanajitahidi sana kwa sasa. Foleni hakuna na wanajitahidi kuwa na bustani katikati ya barabara kuu
Kuota na maono ni kosa kisheria, hii iko Tanzania pekee...Nimeota (maono) Makonda watamhamisha Dar soon kwa usalama wake ila mkoa anaopelekwa bado sijaoteshwa bado
Iyo ya makonda na siro ipoje jaman, me sijaipata .?Amecheka wakati amemchafua, usichukulie simpo kihivyo
Sirro sio RPC kinondoni,huyo ni Kamishna wa hiyo kanda Ila RPC kinondoni ni SACP KAGANDA,sasa kwa kuwa kazoea kuropoka kama muimba taarabu,acha aendeleeEti siro anapokea rushwa, hivi anao ushahidi wa hilo, siro akimpeleka mahakamani itakuwaje?
Nimeota (maono) Makonda watamhamisha Dar soon kwa usalama wake...
Toa practical solution, vinginevyo you are part of the problem.
Huyu bwana mara nyingi huwa hajitambui,Lizaboni sometimes kuwa seriuos! Unakera
Huyu kiongozi ameshindwa kabisa kua mbunifu juu ya suala la foleni za magari katika jiji la Dar es salaam.
Tukisema kua huu mkoa ni mkubwa mno sio size yake tunaambiwa ni majungu, lakini mpaka sasa jiji liko shaghala baghala, parking zimezakaa kila kona ya jiji hovyo hovyo, jiji halina pa kupumulia. Mwanzo alikuja vizuri na wazo la kurasimisha maeneo ya maegesho yote ya magari jijini na gereji zote lakini kwa sasa sijui kapewa nini na matajiri!
Dar es salaam ilikua ya Makamba bhana, Dar ilikua ya mzee Kandoro bhana.Hawa ndio viongozi walioacha alama katika jiji la Dar, walikua wabunifu na wachapa kazi na sio hawa wanasiasa wanaojisifia muda wote.Mtu unaacha vipaumbele vya jiji unakimbilia upandaji miti inaingia akilini kweli? Miti ndio kero za wananchi wa Dar?
Huyu ndugu yangu tukubali kua kachemsha sana, size yake ilikua wilaya na sio jjiji, ona hali halisi ilivyo.