Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam awajibishwe kwa hili!

Huyu kiongozi ameshindwa kabisa kua mbunifu juu ya suala la foleni za magari katika jiji la Dar es salaam.
Tukisema kua huu mkoa ni mkubwa mno sio size yake tunaambiwa ni majungu, lakini mpaka sasa jiji liko shaghala baghala, parking zimezakaa kila kona ya jiji hovyo hovyo, jiji halina pa kupumulia. Mwanzo alikuja vizuri na wazo la kurasimisha maeneo ya maegesho yote ya magari jijini na gereji zote lakini kwa sasa sijui kapewa nini na matajiri!

Dar es salaam ilikua ya Makamba bhana, Dar ilikua ya mzee Kandoro bhana.Hawa ndio viongozi walioacha alama katika jiji la Dar, walikua wabunifu na wachapa kazi na sio hawa wanasiasa wanaojisifia muda wote.Mtu unaacha vipaumbele vya jiji unakimbilia upandaji miti inaingia akilini kweli? Miti ndio kero za wananchi wa Dar?

Huyu ndugu yangu tukubali kua kachemsha sana, size yake ilikua wilaya na sio jjiji, ona hali halisi ilivyo.
Hili zoezi la kupanda miti halina ''Mbinu'' kabisa. hivi wale tunaoishi nyumba za kupanga mijini hiyo miti tutupanda wapi? Dar ni chafu, wapiga debe wanaokera wapita njia kila kona, vijana wanaozurura bila kazi na kukaa vijiweni huku wamevaa kata K, barabara zinatumika isivyo biashara mpaka kuchoma mahindi kwenye njia za watembea kwa miguu zilizojengwa kwa gharama kubwa. mfano mzuri Mbezi beach eneo la Tangi Bovu hadi Africana! Viongozi wa mkoa, wilaya, tarafa, kata, mtaa wapo wanaona na hawafanyi lolote kuwadhibiti.
Mimi naona hawa vijana wanaozurura wapewe kazi ya kupanda nyasi na maua na uzio katika mashule na kutunza kama wanavyotunza wanajeshi nyasi za barabara ya Mwenge Tegeta eneo lao.
Tumieni nguvu kazi ya vijana kuboresha mazingira ya jiji na mashule.
 
Huyu kiongozi ameshindwa kabisa kua mbunifu juu ya suala la foleni za magari katika jiji la Dar es salaam.
Tukisema kua huu mkoa ni mkubwa mno sio size yake tunaambiwa ni majungu, lakini mpaka sasa jiji liko shaghala baghala, parking zimezakaa kila kona ya jiji hovyo hovyo, jiji halina pa kupumulia. Mwanzo alikuja vizuri na wazo la kurasimisha maeneo ya maegesho yote ya magari jijini na gereji zote lakini kwa sasa sijui kapewa nini na matajiri!

Dar es salaam ilikua ya Makamba bhana, Dar ilikua ya mzee Kandoro bhana.Hawa ndio viongozi walioacha alama katika jiji la Dar, walikua wabunifu na wachapa kazi na sio hawa wanasiasa wanaojisifia muda wote.Mtu unaacha vipaumbele vya jiji unakimbilia upandaji miti inaingia akilini kweli? Miti ndio kero za wananchi wa Dar?

Huyu ndugu yangu tukubali kua kachemsha sana, size yake ilikua wilaya na sio jjiji, ona hali halisi ilivyo.
Kazi kuwadhalilisha viongozi wenzie hadharani, alianza na Wilson Kabwe, jana kawananga Kamanda Sirro na Kaganda hadharani! Utafikiri yeye kazi yake ni kushitakia wenzie tu na sio kutekeleza maamuzi!
 
Hizi mada zingine ni chuki tu kwa Makonda.... Hivi foreni katika jiji la dar imeanza kipindi cha makonda? Mbona tangu kipindi cha hao kina kandoro foreni zilikuwepo!
 
Makonda anataka kupiga marufukuShisha bila ya kujali imewekwa Tumbaku au Bhangi hii ni sawa na kupiga Marufuku Matumizi ya Chupa za Maji ya kunywa kwa kuwa kuna watu huweka Gongo kwny Baadhi ya Chupa za Maji! Makonda anadhalilisha hadhi ya shahada zinazotolewa Chuo cha ushirika!
 
Habari ya ushoga iliishia wapi? Mbona shisha tuuu?
 
Nashangaa Kijana mdogo Kama Yule anasema ' Madawa ya kulevya aina ya Shisha' teh teh yaan Shisha imekuwa aina ya Madawa ya kulevya ipo siku tutaambiwa Kiko ni aina ya Sigara au chupa ni aina ya kinywaji!
 
Huyu kiongozi ameshindwa kabisa kua mbunifu juu ya suala la foleni za magari katika jiji la Dar es salaam.
Tukisema kua huu mkoa ni mkubwa mno sio size yake tunaambiwa ni majungu, lakini mpaka sasa jiji liko shaghala baghala, parking zimezakaa kila kona ya jiji hovyo hovyo, jiji halina pa kupumulia. Mwanzo alikuja vizuri na wazo la kurasimisha maeneo ya maegesho yote ya magari jijini na gereji zote lakini kwa sasa sijui kapewa nini na matajiri!

Dar es salaam ilikua ya Makamba bhana, Dar ilikua ya mzee Kandoro bhana.Hawa ndio viongozi walioacha alama katika jiji la Dar, walikua wabunifu na wachapa kazi na sio hawa wanasiasa wanaojisifia muda wote.Mtu unaacha vipaumbele vya jiji unakimbilia upandaji miti inaingia akilini kweli? Miti ndio kero za wananchi wa Dar?

Huyu ndugu yangu tukubali kua kachemsha sana, size yake ilikua wilaya na sio jjiji, ona hali halisi ilivyo.
Kwa hiyo Mkuu wewe shida yako ni parking tu?
 
Yeye kawa mkuu wa trafiki?
 
Ukianzisha vita na Police inabidi uwe umejiandaa kwelikweli na sina uhakika sana kama Makonda kajiandaa na fitna kama kamanda Sirro akiamua kuingia front na kupambana nae under the ground.
sawa....aliongea az if hana uhakika....lakin kamanda hawez akaliacha hili lipite hivihivi....ngoja tuonee
 
Ukianzisha vita na Police inabidi uwe umejiandaa kwelikweli na sina uhakika sana kama Makonda kajiandaa na fitna kama kamanda Sirro akiamua kuingia front na kupambana nae under the ground.
Nimeota (maono) Makonda watamhamisha Dar soon kwa usalama wake ila mkoa anaopelekwa bado sijaoteshwa bado
 
Mnamuonea Makonda, ana exposure ipi ya kubadili Dar? Uropokaji, kujipendekeza na upayukaji hauwezi kubadili sura ya Dsm.
 
Eti siro anapokea rushwa, hivi anao ushahidi wa hilo, siro akimpeleka mahakamani itakuwaje?
Huwezi kumsema sema Rpc kama wewe si mmoja wa Jamii hizo , nasikia mzee marehemu Spika mstaafu aliacha kamweka usalama mapema kabisa akiwa mwanachuo , na mimi sijui niisogeree family gani ya wakubwa walau
 
Huyu kiongozi ameshindwa kabisa kua mbunifu juu ya suala la foleni za magari katika jiji la Dar es salaam.
Tukisema kua huu mkoa ni mkubwa mno sio size yake tunaambiwa ni majungu, lakini mpaka sasa jiji liko shaghala baghala, parking zimezakaa kila kona ya jiji hovyo hovyo, jiji halina pa kupumulia. Mwanzo alikuja vizuri na wazo la kurasimisha maeneo ya maegesho yote ya magari jijini na gereji zote lakini kwa sasa sijui kapewa nini na matajiri!

Dar es salaam ilikua ya Makamba bhana, Dar ilikua ya mzee Kandoro bhana.Hawa ndio viongozi walioacha alama katika jiji la Dar, walikua wabunifu na wachapa kazi na sio hawa wanasiasa wanaojisifia muda wote.Mtu unaacha vipaumbele vya jiji unakimbilia upandaji miti inaingia akilini kweli? Miti ndio kero za wananchi wa Dar?

Huyu ndugu yangu tukubali kua kachemsha sana, size yake ilikua wilaya na sio jjiji, ona hali halisi ilivyo.

!
!
huyo mndape fasi za kilafa hawezi kuwajibishwa...ana akili kama za nanii yake
 
Back
Top Bottom