Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

Status
Not open for further replies.
nackitka watznia mnashabikia vsac na vurugu! Hata kama govern mnahic haiwatendei kile mnachoitakidi kuwa ni haki, je, ndio 7bu ya nyie kulipiza uovu dhidi ya watendaji wake? Ikawa mnapongezana na kushabikia kuwadhuru ndg zenu? Tz tunayoipigania ndio hiyo ya vsac na vjembe?

Kazi ya Upadri au Ushee ndio inakufaa, tutolee porojo zako.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.

Mpeni pole wakuu...anavuna alichopanda!!
 
watanzania kwa kushabikia uozo hawajambo! Wala hili si la kushabikia, cha muhimu ni kujua mapungufu yao na kuishi nae kwa kumshauri. Sasa mkisema arusha haijui mna maana gani? Mnataka viongozi wote watoke arusha? This is not even a moral issue!
Arusha imeongozwa na wakuu kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hawakuwa na matatizo nao, we hutaki kutumia hata akili kidogo kujaribu kufikiria kwanini huyu tu?? Hapo hakuna uozo ila kilichotokea ni mnafiki kupewa stahili yake. Najipongeza kwa Castle Light baridiii, wana Arachuga a.k.a Benghazi u always pave the way.
 
Sasa bado ansubiri nini au hadi wammwagie kinyesi ndo ataamini kwamba kaingia mlango wa kutokea?
 
Huyu mwacheni kidogo tu,kwani yeye mwenyewe ataomba uhamisho. Tukae na tuone! Mjinga sana! Anaacha kufanya inayompasa anakuja kutanganga.
 
nackitka watznia mnashabikia vsac na vurugu! Hata kama govern mnahic haiwatendei kile mnachoitakidi kuwa ni haki, je, ndio 7bu ya nyie kulipiza uovu dhidi ya watendaji wake? Ikawa mnapongezana na kushabikia kuwadhuru ndg zenu? Tz tunayoipigania ndio hiyo ya vsac na vjembe?

visas wanavyo wauaji ccm, umemuua kolimba sokoine nyerere had binti wa wa2 amina chifupa... Sasa mnamuinda Sita, angalia mlivyo mfanyia Mwakyembe... Wauaji wakubwa nyie... Visasi vp mnavyo zungumzia... Chama Cha Mauaji... Laana ziwaandane siku zote za uhai wenu...
 
Mkurugenzi wa jiji la Arusha amesita kutuma barua ya kuitisha uchaguzi wa madiwani sababu ikiwa kwa hali ilivyo Ccm hawataweza kushinda hata kata moja hivyo wanasubiria hali itengamae kidogo
natabiri vurugu kubwa arusha wakati wa uchaguzi wa madiwani!
 
Jamani mimi na doubt kuhusu Kilewo bado hajathibitisha, kesho naahidi kuifutilia hii habari kwa kina na kuleta ukweli. Nachukia sana wanaoleta habari nusu nusu haiwapi watu wanya wa kuchangia kwa mapana badala yake kishabiki.
Sasa nikiuliza mtoa mada RC alikwenda kufanya nini pale stand sipati jibu akili inanituma ni majungu labda.
Pamoja na yote lakini nije kwenye ukweli, RC huyu anabidi kujiangalia sana kutokana na kasumba aliyonayo binafsi ya chuki dhidi ya CDM. Ni bira angefahanu hana uwezo wa yeye binafsi kuwafanya watu waipende CCM zaidi ya matendo ya CCM kubadilika kutokea kitaifa hadi chini na serikali iliyo madarakani kutoa suluhu ya matatizo yanayowakabili wananchi.
Huu si wakati wa propaganda tena kwa serikali bali utekelezaji wa sera zake ili wananchi waone tofauti.
 
Mkurugenzi wa jiji la Arusha amesita kutuma barua ya kuitisha uchaguzi wa madiwani sababu ikiwa kwa hali ilivyo Ccm hawataweza kushinda hata kata moja hivyo wanasubiria hali itengamae kidogo
What a joke!
Wanategemea mkono wa mtu udondoke ili waule nyama...Over my dead-body, haitatokea Arusha hii!
Mi nashauri CDM walazimishe sheria zifuATWE, na uchaguzi uwekwe kwenye schedule haraka kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tawala za mikoa na serikali za mitaa!
 
KAZI YAKE ALIYOTUMWA NI KUFANYA SIASA ZA MAJI TAKA?? Tena ikiwezekana wachanganye tindikali na upupu wammwagie ndo atashika adabu, ALAFU WE REJAO WEWE OLE WAKO SIKU TUKUTANE ANA KWA ANA
tindikali sura yake inaweza ikaaichakachua asiungue SI unajua Magamba walivo watabe kwenye kuchakachua. Bomu la petrol linamfaa
 
Jamani mimi na doubt kuhusu Kilewo bado hajathibitisha, kesho naahidi kuifutilia hii habari kwa kina na kuleta ukweli. Nachukia sana wanaoleta habari nusu nusu haiwapi watu wanya wa kuchangia kwa mapana badala yake kishabiki.
Sasa nikiuliza mtoa mada RC alikwenda kufanya nini pale stand sipati jibu akili inanituma ni majungu labda.
Pamoja na yote lakini nije kwenye ukweli, RC huyu anabidi kujiangalia sana kutokana na kasumba aliyonayo binafsi ya chuki dhidi ya CDM. Ni bira angefahanu hana uwezo wa yeye binafsi kuwafanya watu waipende CCM zaidi ya matendo ya CCM kubadilika kutokea kitaifa hadi chini na serikali iliyo madarakani kutoa suluhu ya matatizo yanayowakabili wananchi.
Huu si wakati wa propaganda tena kwa serikali bali utekelezaji wa sera zake ili wananchi waone tofauti.

Mkuu sidhani pana ukweli hapa.
 
Mbona wakiua wanapongezana kwa hilo dogo 2 unasikitika, lait ningepata nafasi mie ningemcameron mwiko au upawa
 
Huyu mwacheni kidogo tu,kwani yeye mwenyewe ataomba uhamisho. Tukae na tuone! Mjinga sana! Anaacha kufanya inayompasa anakuja kutanganga.
Siyo rais, Zuberi Mwombeji hajahama bado sembuse huyu. Ngoja nikupe jinsi watakavyohama hawa jamaa. Endapo wananchi wa Arusha wataikataa CCM kiujumla basi kazi za hao jamaa zitakuwa zimeprove failure na hivyo kukaa kwao hakutakuwa na maana tena.
Simple like that,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom