Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

Status
Not open for further replies.
Ebana eh tupeni habari za kweli mara uyu anasema kamwagiwa badae mwingine anasema ni uongo kupindukia, na mbaya zaidi alotoa hii news anakaa kimya bila kutoa justification za maneno yake, mkuu kileo please bana tunasubili justification yako juu ya hii habari hii nzuri na ya kufurahisha..
 
mara ya kwanza mlisema alipigwa na nyanya sokono leo tena kamwagiwa maji

Mbona hatuskii reaction yoyote au mtakaka kusema yeye ni mchungaji hivyo anamwachia Mungu

" Habari za umbea kwa watu wazima hazipendezi hata kama ni kujifurahisha si kihivyo jamani dah !! "

Acha kufikiri kwakutumia masaburi wewe, sasa kama mtu anashindwa kusimamia maadili ya uongozi unataka akipita watu wa mchekee, yaani Arusha hakunaga huwo upupu kama ni white ni white hivyo hivyo.
 
kwa kauli za mkuu huyo nafurahia sana yeye kufanyiwa hivo hata hivo bado.coz yy anafikiri atasifiwa kwa kupiga wananchi mabomu.Viongoz wa MAGAMBA TAMBUENI HAMTAKIWI KTK JAMII na hiyo ni laana kulingana na damu iliyomwagika jj Arusha tar.5/1/2011.cku yaja magamba wote na police wenu mtakimbizwa kama swala.NGUVU YA UMMA NI TISHIO KWA VIONGOZ WABABE.references MISRI,IVORYCOAST,LIBYA,TUNISIA na Tanzania muda wowote kuanzia sasa tutaingia kwenye record kama Jk atashindwa kutumia kamat iliyoundwa na CDM/kama atashindwa kufanyia kaz maandamano ya Jukwaa la Katiba.
:A S 465: :lol:
 
Kamanda sijawahi kuongopa wala sinto ongopa hapa JF maana naamini hili ni jukwaa la watu wenye Busara. Kwenye maisha yangu huwa sipendi uongo.white is white Red is red.

ulishuhudia kwa macho yako ama ulielezwa na mtu ? maana arusha hivi sasa limekuwa jiji la tetesi na asilimia tisini ni za uongo,rc arusha wiki nzima sasa hayuko na yuko dodoma
 
Hii habari ni unafiki mtupu, RC wa Arusha kaingia usiku huu kutoka Dar es salaam.

All in all inaonyesha ni kwa kiasi gani asivyokubaiika.Sijui anatafuta cheo gani tena yarabi. Maana viongozi wamekuwa na kasumba ya kujipendekeza ili wapate vyeo mwisho watavua suruali. Ovyoo
 
Acha kufikiri kwakutumia masaburi wewe, sasa kama mtu anashindwa kusimamia maadili ya uongozi unataka akipita watu wa mchekee, yaani Arusha hakunaga huwo upupu kama ni white ni white hivyo hivyo.

kwani we unakaa arusha?
 
Acha kufikiri kwakutumia masaburi wewe, sasa kama mtu anashindwa kusimamia maadili ya uongozi unataka akipita watu wa mchekee, yaani Arusha hakunaga huwo upupu kama ni white ni white hivyo hivyo.
Unapaswa kucement point yako badala ya kufikilia " masaburi " mara zote mi sipo Arusha hii issue ndiyo nimeipata kwako hapa Jitahidi kujibu hoja siyo kukurupuka kutype usichokiamini JIPANGE MAPEMA mkuu
 
*unataka kujibiwa kistaarabu wakati wewe umeandika utumbo? hapa kama umeandika utumbo utajibiwa utumbo..... umenipataaa sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom