Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Nov 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... That is Arusha!!
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Atatuma polisi hapo waambie wakae macho,na hizo biashara zao hapo watanyanyaswa sana,wajiandae.
   
 4. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiyo ndiyo azabu yake alistahili kwani mambo aliyowafanyia wana arusha ni maby
   
 5. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  well said ,ila nguvu ya dola haiwezi kushinda dhamira .
   
 6. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni maji ya upupu au machicha? Na akome tabia yake ya kwenda kununua vicha mwenyewe wakati ana wasaidizi
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dhamira ni neno KUBWA!

  Lakini

  kwakuwa watalibeza ... Litawamaliza ... Bila MIJISILAHA!!
   
 8. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Reason plz, or tz supposed to be a revenge..am missing Arusha, naja wiki ijayo.
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  lema alisema atamwambia mke wake na wamama wakazungumze nae kwa maana yeye na mkuu wa mkoa naziiivi.
   
 10. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tupe tips za kuamini hiki ulichopost ni ukweli!
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wangempiga na mayai visa
   
 12. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mkuu karibu sana Arusha

  Huwa inasemekana "chezea mahali ingine sio Arachuga (jina maarufu ambalo vijana wa mkoa huu wameamua kuubatiza)"
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bhange @ work!:bange::bange::bange::bange:
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  natabiri vurugu kubwa arusha wakati wa uchaguzi wa madiwani!
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu wa mkoa ameacha kufanya kazi za utekelezaji za kiserikali amejiingiza kwenye siasa
   
 16. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana! Vp maji aina gani, maji safi au maji taka?
   
 17. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii habari haina ukweli wowote.
   
 18. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  watanzania kwa kushabikia uozo hawajambo! Wala hili si la kushabikia, cha muhimu ni kujua mapungufu yao na kuishi nae kwa kumshauri. Sasa mkisema arusha haijui mna maana gani? Mnataka viongozi wote watoke arusha? This is not even a moral issue!
   
 19. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huu ni uwongo wa kupindukia. Halijatokea tukio kama hili Arusha. Jamani leteni habari za kweli.
   
 20. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ........du, hili nalo neno!!!!!!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...