Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,122
- 25,951
Amesema kwa sasa ameachaSawa mbabe mstaafu.
Ni lazima kila kiongozi atekeleze majukumu kwa kuzingatia kanuni ,sheria , miongozo na katiba yetu .na siyo kujichukulia na kujifungia sheria zako mkononi na kwenda kuanza kuzitekeleza kwa kuwadhalilisha na kuvunja haki za watu wengine.Naamini wale dada poa watakaa Kwa utulivu na kufanya biashara Yao Kwa aman ss
Usifikiri wote wanavuta bangi kama ulivyo weweNa bangi aache sasa maana ndiyo inamfanya ajione yeye nyati sana
Pimbi in action!Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari wa serikali na wanahabari.
Amesema yeye na wakuu wake wa wilaya wameyapokea vyema maelekezo ya Mheshimiwa Rais ya kuacha ubabe na hata hivyo yeye Mheshimiwa Chalamila alishaacha ubabe.akachukua nafasi hiyo kuwa simamisha wakuu wa wilaya wawili ambao ni wa ubungo na kinondoni.
Kauli hiyo ya Mheshimiwa Chalamila inakuja baada ya kupita siku chache Mheshimiwa Rais kusema kuwa kuna baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wanaendelea na matumizi ya mabavu na ubabe.na akawataka kuacha mara moja tabia hiyo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019913
Leo umeongea fact kama chawa mstaafu.Ni lazima kila kiongozi atekeleze majukumu kwa kuzingatia kanuni ,sheria , miongozo na katiba yetu .na siyo kujichukulia na kujifungia sheria zako mkononi na kwenda kuanza kuzitekeleza kwa kuwadhalilisha na kuvunja haki za watu wengine.
Wewe si unamuona tu kwenye vyombo vya habari.Usifikiri wote wanavuta bangi kama ulivyo wewe
Mimi ni msema kweli siku zote . Huwa sipendi kuongea uongo kwa sababu nina watu akili kubwa nyuma yangu kama ephen.Leo umeongea fact kama chawa mstaafu.
Hoja yako ni nini sasa!Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari wa serikali na wanahabari.
Amesema yeye na wakuu wake wa wilaya wameyapokea vyema maelekezo ya Mheshimiwa Rais ya kuacha ubabe na hata hivyo yeye Mheshimiwa Chalamila alishaacha ubabe.akachukua nafasi hiyo kuwa simamisha wakuu wa wilaya wawili ambao ni wa ubungo na kinondoni.
Kauli hiyo ya Mheshimiwa Chalamila inakuja baada ya kupita siku chache Mheshimiwa Rais kusema kuwa kuna baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wanaendelea na matumizi ya mabavu na ubabe.na akawataka kuacha mara moja tabia hiyo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019913
Kama kawaida ya utoto wako.
Hoja yangu ni hoja ya RC niliyoiandika hapo kama taarifaHoja yako ni nini sasa!
Ndugu zako haoKama kawaida ya utoto wako.