Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) kusikiliza maoni ya wamiliki wa magari baada ya kupanda kwa gharama za mafuta.
Chalamila asifikiri kila mtu kasoma RUCO...mtanisamehe mliosoma hapo ..
Issue ni kwamba huo mzigo ulioanza kuuzwa tarehe moja na bei mpya umeletwa kabla ya vita.... hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa kabla...sasa ikawaje ukabatizwa bei mpya?....ndio maana wadau wanapiga kelele kwamba kuna wizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.