Mkuu wa Mkoa ahamia nyumba ya pili kumpisha Salma kikwete Ikulu

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Taarifa kutoka Bukoba,nilizopenyezewa na mdau mmoja aliyeko huko ni kuwa mkuu wa mkoa amelazimika kuhama katika nyumba iliyoko IKULU ndogo ya Bukoba kumpisha mke wa JK anayefanya ziara ya kichama mkoani humo.

kwa mjibu wa taarifa hizo ni kuwa RC mohamed babu amehamia katika nyumba iliyoko pembeni mwa ikulu hiyo.

salma yupo mkoani kagera akimbea kura ccm nk
 
Sishangai sana kwa hilo kwani inaeleweka wazi kuwa Salma Kikwete ndiye makamu wa Rais katika nchi hii,hivyo kupishwa si jambo la ajabu sana na hata matumizi mengine serikali inalipia na taarifa za serikali kuhusu mkoa husika anapatiwa.
 
Sioni shida hapo, mbona anapokaa Ikulu ya Magogoni hakuna malalamiko, au kwa sababu ya kampeni?
 
mkuu wa mkoa ni kweli aliamukia aliko lala au pale huwa analala. polEE:hand:
 
Nachojua mkuu wa mkoa haishi ikulu,wana nyumba zao kama Babu anaishi ikulu ndogo ya Kagera basi ni utaratibu wa kawaida kabisa yeye kumpisha mke wa rais
 
Huyu first lady wetu wa awamu hii ni kiboko, inavyoonekana shuka kwa shuka hatimaye itajibu.
 
A
Naomba ufafanuzi....1st lady akiwa kwenye campaign za chama cha mumewe analala ikulu? Gharama zinalipwa na ccm? Yaani consumerbles zote za siku atakazokuwa hapo?
 
I think there is no prob with that. Fikiria kuwa raisi amekuja hapo, lazima angepisha tu. hiyo ni nyuma yao kwa kipindi ambacho raisi yupo madarakani. Ni kama pale magogoni tu.
 
A
Naomba ufafanuzi....1st lady akiwa kwenye campaign za chama cha mumewe analala ikulu? Gharama zinalipwa na ccm? Yaani consumerbles zote za siku atakazokuwa hapo?

Waziri Mkuu pia alikiri kwamba ni vigumu sana kutenganisha kazi za Chama na za Serikali, First Lady analala IKULU na lazima atumie gari za Serikali kwa sababu za ki itifaki akitumia kofia ya mke wa Rais, ila kesho yake asubuhi yupo mitaani kwenye kampeni zake za shuka kwa shuka.

Hapo serikali lazima ihakikishe ulinzi kwa ujumla, Posho za wasaidizi wake, Madeveva, Usafiri, Malazi nk. hadi atakapomaliza kampeni zake, ila ukimuuliza kinana atakwambia CCM wamelipia gharama, danganya toto hiyo.


Mfumo wetu una matobo mengi sana.
 
IKULU tamu bana. jamaa anatumia misuli yooote aliyonayo na aliyopewa kikatiba kuhakikisha anarudi IKULU.
ameshindwa kufahamu kuwa siku hizi siasa na biashara havitangamani
 
ni sawa,si nyumba ya familia?mwache afanye majukumu ya kifamilia kama kampeni
 
Back
Top Bottom