Mkuu wa mkoa adai Raisi ni kiongozi wa kiserikali na kiroho. Na kila kilichokufa, Raisi akikigusa kinafufuka!!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..Hebu msikilizeni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Geita.

..Is he OK?

..ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

Amelewa mchuzi wa Chato huyo mpuuzeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

kuna bomu la udini lina anza kupikwa
 
Bwana Yesu, unanijua kuwa Mimi ni mwenye dhambi. Natubu kwa ajili ya jina lako na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Watanzania wote kabisa kwa umoja wetu tumefanya dhambi japo kila mmoja kwa siku yake.
BABA, haya maneno ya huyu mkuu wa mkoa sio yetu watoto wako Watanzania wote, BALI NI YAKE NA WOTE WALIOMTUMA. Sisi watoto wako (hata waliofumbwa ufahamu) TUNAKUTEGEMEA WEWE MUNGU WETU MUUMBA MBINGU NA NCHI.
 
..Hebu msikilizeni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Geita.

..Is he OK?

..ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

Nina mashaka na Uislamu (na najua kuwa hiyo dini ni utapeli fulani), ila pamoja na yote hayo naamini kuwa kuna Waislamu ambao kweli wanataka kumtumikia MUNGU wa kweli na kwa mantiki hiyo HAWAWEZI kukubali na madai kuwa Magufuli ndie kiongozi wa kiroho wa nchi hii (Wakristo wenzangu wanajua maana ya kufuru hii na kwenu Waislamu - ambao pamoja na ukweli kuwa najua kuwa imani yenu ni misguided bado hamtakubaliana kuwa Magufuli ndie Allah).
Sikutuma hiki ninachokituma leo wakati yule mkuu wa mkoa wa Tabora aliesema watu wa Tabora wanamuomba MUNGU yeye ndie amshukuru Magufuli.
Have we stopped so low nyie Watanzania wenzangu??? Tunamuabudu MTU leo???

NA ALAANIWE KILA MTU ANAEMUABUDU BINADAMU MWENZAKE.
 
Bora hakutoa salaam kwa wote
Maana inaonekana kabisa alivyo na chuki na roho mbaya maana hata sauti imebadilika ghafla na kuwa mchungaji feki

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
..Hebu msikilizeni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Geita.

..Is he OK?

..ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

Njaa
Hofu
Mashaka
Wasiwasi na woga
 
Boss JokaKuu Hao Praise Team na Madaraka ya Kulevyia ni wa kuwaombea msamaha na kuwaelimisha, ni Upuuzi mtupu, unasifia mpaka unapitiliza, Ni kweli Mh. Rais anastahili PONGEZI kwa UDHUBUTU wake, ila swali je, Miaka yote tumeongozwa na Rais wa Chama gani??? Yaani hawa Praise Team wanaongea utafikiri Mh. Rais ametokea Chama tofauti.

Ushauri: Mh. Rais usichukue ushauri na maoni yao, ukiwatizama kwa Jicho la Tatu, wanakupigia debe ili ubadilishe Katiba kujiongezea muda ili wao wazidi kubaki Madarakani, wazidi kufanya yao. Yaani hao kwa mfano ukawatumbua sasa hivi, utashangaa ... watakutukana na maneno kibao, Wanafiki tu.
Mh. Rais wewe endelea kuchapa kazi, mijitu kama haya ni ya kuyatumbua kwa kwenda mbele.
Hakuna Raha kama kustaafu kwa HESHIMA.

..Hebu msikilizeni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Geita.

..Is he OK?

..ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

Bwana Yesu, unanijua kuwa Mimi ni mwenye dhambi. Natubu kwa ajili ya jina lako na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Watanzania wote kabisa kwa umoja wetu tumefanya dhambi japo kila mmoja kwa siku yake.
BABA, haya maneno ya huyu mkuu wa mkoa sio yetu watoto wako Watanzania wote, BALI NI YAKE NA WOTE WALIOMTUMA. Sisi watoto wako (hata waliofumbwa ufahamu) TUNAKUTEGEMEA WEWE MUNGU WETU MUUMBA MBINGU NA NCHI.
Amen
 
..Hebu msikilizeni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Geita.

..Is he OK?

..ameanza hotuba yake na salamu ya Bwana Yesu Asifiwe.

..hakutambua uwepo wa waumini wa dini nyingine mfano Waislamu.

..it is as if alikuwa ktk mkutano wa Walokole.

..sasa alichokisema baada ya " Bwana Yesu asifiwe.." kina matatizo na ukakasi kuliko salamu zake kwa viongozi na wananchi.

..Nimeweka video hapa chini.

Huyo naye mlevi wa madaraka na sifa zimemzidi WATAMBUE KUNA MAISHA BAADA YA UONGOZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom