Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.

Col Sultani Makenga (centre with stick) with rebel soldiers at Bunagana, a town near the Ugandan border, on July 8. Picture: File
 


Na hii ndio kazi iliyowapeleka wa TZ, South na Malawi huko CONGO na walisema wanaanza na M23 ndio maana kagame akapiga kelele sana, akataka waanze na FDLR na sio M23 kwa kuwa tu anamaslahi nao hao M23.
 
mauaji yamewachanganya, muda wa kwenda twitter ni upi badala ya kupanga jinsi ya kujitetea kwa slim boy.

twitter yao iko active,masaa mawili yaliyopita walikua wanaupdate helcopter tatu zilikua zinaelekea position yao kushambulia.
 
Kwanini huyo kiongozi wa M23 akatibiwe Kampala Uganda?. Kuna uhusiano gani kati M23 na Uganda?.
 
na bomu lililopiga Rwanda hiyo ni dalili ya mvua ; akiongeza majeshi atakiona na bado drones
 

nashukuru kwa sahihisho lakini ujumbe umemfikia mlengwa.
 
Bring it on....You are free to roll it with meh!

punguza hasira ndugu. muombe Mungu subira na busara viwe vinakutawala, utafanikiwa na kufika mbali. mambo ya u r free to roll it ina maana upo tayari kwa mpambano...... kwa hali hii sidhani kama siasa za vijana zitafika mbali. huu ni ushauri wa bure, una uhuru wa kuupokea au kuupuuza
 
Hivi Mkuu nchi kama Rwanda JWTZ inaweza ikatupa mabomu mangapi na kwa muda gani inaweza ikachakazwa kama tukiingia nao Uwanjani wa Mapambano.

Mnaongea km vile Rwanda hawana jeshi.kwa taarifa yako Rwanda wanA jeshi makini,kakamavu na lenye uzalendo wa hali ya juu sana kuhusu nchi yao.so tusizungumzie vita kwa wajeshi wetu hawa wenye vitambi vya vitimoto na uzoefu wa kupiga makonzi raia.ingawa tutaweza kuwatandika vita hiyo itachukua mda mreeefu sana na pia italeta madhara makubwa kwetu.kitachoweza kufanya vita hiyo iwe rahisi ni iwapo wanajeshi wa kigali wakiamua kusaliti waungane na Jwkumtoa huyo dikteta.
 
Watutsi mbona wamekimbia huu uzi maana walikuwa wengi siku ile Kimbaumbau Kagame alivyoongea pumba kwa Mh.Kikwete.

Ukiwa mkatili na mwenye roho mbaya km kagame huwez kugata mwili hata kidogo.
 
Bravo fardc kwa ushindi. Kwa mara ya kwanza mnaweza kulinda nchi yenu. Pamoja na ujasiri kuweni na nidhamu. Msiwatendee unyama maadui zenu wakati huu wa furaha ya ushindi.
 
Huyo Betrand sio lolote, makenga ndio kila kitu. Ni kawaida ya hawa watutsi kumtanguliza kiongozi wa kibantu kama boya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…