mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
mpe japo mfano wa 2008 visiwa vya comoro
Wana JF huyu Makenga kazushiwa kifo mara nyingi sana, tusiihamini hii taarifa kiuraisi namna hii, tuvute subila, ila mimi nina waunga mkono M23, hivi mnajua M23 wanachokipinga?
tatizo watu wapo huku kwa kuagizwa, hawajui hata maana ya article 6 na tofuti iliyopo na article 7
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!
na bado, hiyo ndio tokeo la drone nini?
ehe, hebu saidia hapo mkuu. Aticle 6 inasemaje, na aticle 7 inasemaje? Jf uzuri wake shule.... Hem saidia hapo ndugu.
Not confirmed, na habari hii ya kujeruhiwa Sultan Makenga huenda sio kwenye vita hii ya sasa. DRC Rebels Deny their leader has been woundedHabari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.
Hata akifa kwa typhoid ....Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Kagame nadhan anausoma Mchezo wa JWTZ, M23 lazma waombe POO, kimya cha Tanzania hakimaanishi Uoga au Unyonge bali ni busara na Subira tulizojaaliwa na Mola wetu, Mama Joyce Banda kama kachoka kiti chake nae asogeze Mgambo wake mpakani! Ukitaka kujua shughuli ya Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Koba ndio mletaji habari khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muulizeni.
Hao ndio JWTZ! Mbona watatujua safari hii!
Ole wao walipe kisasi kwenye ardhi yetu TUTAPIGA hadi panya hawatasalia!!!
Waweza kuwa na silaha za kisasa lakini usiwe na mbinu za kupigana. Yawezekana JWTZ hawatumii silaha lakini wanafundisha mbinu kwa majeshi ya serikali ya congo.
tumechoka mauaji ya wanawake na watoto yanayoendelea kongo, tumechoka kejeli na dharau za kagame kwa Tanzania, SASA NI KUPIGA TU MPAKA KWA SLIM BOY.
Hii ndio JF mkuu, watu hatujuani humu wengine ni vyanzo vya taarifa.!!!