Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

Wangemuua kabisa!!..
Siyo vizuri kumuombea mtu kifo, lakn kama ingetokea bora wangemuua yule wa Arusha anayetorosha majangili au IGP ambaye pamoja na kulalamikiwa na kagasheki bado hajachukua hatua yeyote.
 
ndugu ni vigumu kupata picha na habar kwa sasa kwa mapigano ya vijijini na netwok ni tatizo kiukwel mji wa songe upo vizur tu watu wapo kwenye kaz zao na kikubwa ni huzuni tu na kuombea mkuu huyu apate nafuu ni mtu safi sn anayejal sn kaz na utu bado anaumri wa kat tu mungu amponye nguvu ya taifa

sawa mkuu APMS asante kwa hii update, tunachojiulzia wengi wetu hapa imekuwaje watu takriban 80 wanafanya 'mazoezi ya kijeshi' porini bila vyombo vya dola kujua, hawa watu ni kina nani na lengo lao ni nini hasa?
 
Last edited by a moderator:
Sio wanajeshi,ni kikundi cha watu takribani 200 walikuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi...
Serekali iwe makini uhasi unanukia Tanzania..

Wewe ndio msemaji wa jeshi la polisi tusubiri serekali watoe maelezo ya kina kama ni ugaid au majeshi tu walikuwa wanafanya mazoezi
 
Potelea mbali, ikibidi kushabikia machafuko na iwe hivyo, kuliko kuendelea kuunga mkono uonevu na ujinga.
Watu walipoandamana waliita ugaidi, wakatengeneza matujio ya kigaidi wao wenyewe ili wawabambikie wengine bila kujali damu isiyo na hatia ilivyomwagika.
Maji hufuata mkondo, matukio ya kweli yamekuta rutuba nzuri ndani ya Tanzania, kwa nini yasistawi?
Mliwachekea sana watu fulani walipokuwa wakihubiri ugaidi huku wakiwapachika wenzao huo ugaidi, hakuna aliyekemea tabia hii ya kumtaja 'Nyoka' usiku.
Pole Ispector Lusekelo.
 
Hii habari nadhani ITV wamewahi kuirusha ili waonekane kuwa wa kwanza kuripoti tukio hil. Nina uhakika kuna kitu kingine ambacho kinafichwa hapa hadi kupelekea huyo Mkuu wa kituo kupigwa risasi.
Mtu aliye maeneo ya huko karibu na kwenye tukio alinitaarifu kuwa kuna Mgambo mmoja amechinjwa, wauaji wa huyo Mgambo ni kikundi fulani cha dini. Tusubirie kidogo baadae tutapata habari nzima nzima.
 
sawa mkuu APMS asante kwa hii update, tunachojiulzia wengi wetu hapa imekuwaje watu takriban 80 wanafanya 'mazoezi ya kijeshi' porini bila vyombo vya dola kujua, hawa watu ni kina nani na lengo lao ni nini hasa?

sawa ndugu kifup tu kilindi haiko vizuri kimazingira jana majira ya mchana nilishuhudia polisi wakiwa wamevalia zana za kazi na kamati zima ya ulinzi wilaya ilikuwepo ilivyokuwa kuna mgambo aliuwawa na ndio polisi kwenda lakini walikutana na hali hiyo ngumu na mkuu kupigwa risasi.huyu jamaa ni mtu asiyependa uonevu kabsa na tukio limetokea mbali na makao ya wilaya ila tusubir nguvu imeongezwa vya kutosha tutatoa taarifa
 
Last edited by a moderator:
kwanini tumefika hapo? au ndo tabaka la walionacho na wasionacho na haya ndo madhara yake? tumejiandaaje na hayo yote? hatuitaji siasa juu ya usalama wa wananchi kila mtu aamue ili kukomesha haya yanayojiri
 
sio wanajeshi,ni kikundi cha watu takribani 200 walikuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi...
Serekali iwe makini uhasi unanukia tanzania..
ni kikundi halali au kundi haramu? Ni mazoezi ya faida kwa taifa au yakuangamiza taifa? Na kwa nn walifikia ha2a ya kupambana na polisi? Au polisi walienda kufanya nn kwenye mafunzo yasiyowahusu?
 
Intelijensia...
Mkuu usiwe mgumu kuelewa kwamba barafu huyeyuka juani penye joto..intelijensia ya PoliCCM hufanya kazi ktk medani za siasa dhidi ya wapinzani na wasiokuwa na pesa tu na si vinginevyo.
 
Serikali ilishaambiwa toka zamani kuwa intelinjia imefeli.wasubiri sasa ipo siku yatatokea ya hatari zaidi.inatisha sana,juzi mtwara kundi limekamatwa!na leo tena Tanga? Mhh!
 
Inakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.

Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.

wao kwa wao si mbaya,,,,
tuendelee na shughuli zetu kama kawaida
 
Kuna kipindi siwaelewi baadhi ya watu humu ndani. Amejeruhiwa akiwa kazini kuhakikisha kundi hilo haliumizi wanajamii, badala ya kumpongeza, kumpa pole na kumtakia heri, wajinga wachache na crashwize ninayemkubali anashangilia. Tumieni akili, sio kila kitu kuweka U-CHADEMA tu.
 
hii habari nadhani itv wamewahi kuirusha ili waonekane kuwa wa kwanza kuripoti tukio hil. Nina uhakika kuna kitu kingine ambacho kinafichwa hapa hadi kupelekea huyo mkuu wa kituo kupigwa risasi.
Mtu aliye maeneo ya huko karibu na kwenye tukio alinitaarifu kuwa kuna mgambo mmoja amechinjwa, wauaji wa huyo mgambo ni kikundi fulani cha dini. Tusubirie kidogo baadae tutapata habari nzima nzima.
tores unaeleweka hawa wengne hafunguki. Fatilia then funguka zaidi mkuu
 
geographical kilindi ni Mapori na yapo isolated vile vile milima na mabonde , watu wengi huingia na kutoka Kama wafanyabiashara hasa hasa za mazao ya kilimo, mifugo na mbaya zaidi kuna migodi mingi isiyo rasmi yenye idadi idadi kubwa ya watu kutoka kona zote za nchi yetu na hata RAIA wa nchi za nje
 
Tanga inakuja juu vizuri sana, juzi kule Lushoto Vijijini walimpa kipondo cha kutosha yule Afsaa wa Polisi baada ya kummua raia asiye na hatia........inatia moyo

Unasema inatia moyo! Mkuu nakushangaa sana! Inavyoonyesha hujawahi kuvamiwa na majambazi au kushuhudia machafuko ya kigaidi! Badala ya kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana na ugaidi we unashangilia! Nakuombea siku moja ukumbane nao ndio utajua umuhimu wa polisi!
 
Tanga inakuja juu vizuri sana, juzi kule Lushoto Vijijini walimpa kipondo cha kutosha yule Afsaa wa Polisi baada ya kummua raia asiye na hatia........inatia moyo

Vijijini wanabadilika na kujanjaluka, DSM mnazidi kunyanyaswa na kuonewa, na kama alivyo sema PINDER lazima mpigwe tu, mtapigwa sana, maana mmekataa kuwapiga wao
 
Back
Top Bottom