nitatoa tarifa na picha km itawezekana ila vikosi vya usalama vimefika.
Juzi ilikuwa zamu ya Mkuu wa upelelezi wilaya ya Lushoto na leo imekuwa zamu ya Mkuu wa kituo wilaya ya Kilindi.
Naona Tanga ''wanakuja juu'' kwa taratibu lakini kwa uhakika!
Tanzania tuitakayo ni ipi wakuu?
Tanga inakuja juu vizuri sana, juzi kule Lushoto Vijijini walimpa kipondo cha kutosha yule Afsaa wa Polisi baada ya kummua raia asiye na hatia........inatia moyo
mkuu Mwita Maranya watawapiku sasa hivi
Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
Tanga inakuja juu vizuri sana, juzi kule Lushoto Vijijini walimpa kipondo cha kutosha yule Afsaa wa Polisi baada ya kummua raia asiye na hatia........inatia moyo
Kwa kina Mwita Maranya ni habari nyingine... kanda maalumu ile..
Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
Inakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.
Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.
Tafadhali tuhabarishe mkuu hii hatari sana
Joseph 30 aliwaambia na kuwapa ushahidi wa CD za yanayojiri chuo kikuu cha Dodoma, maccm yakamrukia nusura yammeze kisa ni Chadema, badala ya kufanyia kazi zile cd akina Chagonja wamerelax na kujifanya kuchunguza mambo ya bomu la Arusha ambalo liko wazi kabisa mhusika ni Mwigulu. Sasa waache waone mziki wake!Wametengeneza nadharia za Ugaid sasa imekuja kwa vitendo wanaweweseka!