Intelijensia iko busy na Chadema, hivi hamuoni mnapoteza muda kushughulikia vitu visivyo na msingi?? si ajabu tutasikia alshabab wako humu humu dsm na hamjui.
...wapo mpaka humu jf!
Intelijensia iko busy na Chadema, hivi hamuoni mnapoteza muda kushughulikia vitu visivyo na msingi?? si ajabu tutasikia alshabab wako humu humu dsm na hamjui.
wanajamvi mi npo kilindi pia ni chanzo cha vurugu ni migogoro ya watu inasemekana wanapnga kulipa ushuru wa iliki wakamuuwa mgambo ndio polisi kwenda na majanga kwa kamanda nimpiga kazi mnzur sn mungu mponye occ amen
Wametengeneza nadharia za Ugaid sasa imekuja kwa vitendo wanaweweseka!
Alikuwa kwenye majukumu yake kikaziinamaana kituo cha polisi kipo kwenye uwanja wa mazoezi au jamaa alikuwa kwenye mambo yake?
weka uTaifa mbele.Mkuu umehamia buku 7 team.
Mimi nalia na Mkuu wa kaya,amelazia damu mambo mengi sana kwa style ya ni 'upepo' utapita na sasa ndio kama hivyo ...Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
naona unajijibu mwenyeweInakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.
Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.
Hao raia wanaopinga ushuru wa Iliki ndo wanamiliki bunduki na waliweza kulenga shabaha kwa mkuu wa polisi wilaya??
Mwigulu ndicho alichokua anaombeaWametengeneza nadharia za Ugaid sasa imekuja kwa vitendo wanaweweseka!