Potelea mbali, ikibidi kushabikia machafuko na iwe hivyo, kuliko kuendelea kuunga mkono uonevu na ujinga.
Watu walipoandamana waliita ugaidi, wakatengeneza matujio ya kigaidi wao wenyewe ili wawabambikie wengine bila kujali damu isiyo na hatia ilivyomwagika.
Maji hufuata mkondo, matukio ya kweli yamekuta rutuba nzuri ndani ya Tanzania, kwa nini yasistawi?
Mliwachekea sana watu fulani walipokuwa wakihubiri ugaidi huku wakiwapachika wenzao huo ugaidi, hakuna aliyekemea tabia hii ya kumtaja 'Nyoka' usiku.
Pole Ispector Lusekelo.
Unasema inatia moyo! Mkuu nakushangaa sana! Inavyoonyesha hujawahi kuvamiwa na majambazi au kushuhudia machafuko ya kigaidi! Badala ya kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana na ugaidi we unashangilia! Nakuombea siku moja ukumbane nao ndio utajua umuhimu wa polisi!
Niko vizuri tu kijana wa zamani, sema neno! Nilifurahi sana kuona afsaaa wa polisi anakula kipondo cha mbwa mwizi. Wambugu Nouma wewe
CC: CHAMVIGA
Ni jamaa wa Ansar Sunna, wameanzisha kijiji chao pekee yao tu wavaa suruali fupiHao lazima ni magaidi jamii ya alishababy
mkuu wa kituo cha polis wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
mkuu wa kituo cha polis wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.
Radio one.
Kimsingi hao jamaa ni wameanzisha utaratibu wao, wanakinzana na karibu sheria/taratibu zote za nchiWanalima Iliki hao jamaa? Maana tatizo ni ushuru uliopelekea Mgambo kutangulizwa mbele ya Mungu!