comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Kigezo hicho kikitumika kumtumbua itabidi atumbue wakuu wengine pia kwani hiyo biashara ipo kwenye majeshi mengi.
alishajibu kuwa jipu lake sio la kisport sport hadi lichezewe!!Mbona yule wa Lugumi hujatumbuliwa???!!!
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama siyo wa kutumbuliwa hivi hivi kama vibaraka wa CCM kwenye ngazi za Mkoa na Wilaya.
Nakuambia,hawezi Kutumbuliwa.
Hili mbona liko wazi. Si unajua jinsi rais wenu anavyokurupukaga?Wana Jf
Kutokana na safari ya kikazi alioifanya Mh Rais katika magereza jana ukonga na kubaini yafuatayo
1. Askari magereza kununua sare za jeshi lao kwa watu binafsi
2. Jeshi la magereza kushirikisha watu binafsi katika ujenzi, hali hii ilimchukiza Mh Rais,Aidha kutokana na machukizo hayo ni dhahiri Mh Rais atatengua uteuzi wa Mkuu wa jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja.
4:1 .apana ni kwayaKumbe nalo magereza ni jeshi?
Naamini atamvumilia kidogo maana magereza wanasahaulika sana! Alipowapa zile 10b maana yake afukie mashimo mambo yakae sawa! Kama umri umesogea sogea atamvumilia amalize astaafu zake! Nina mashaka na
Mangu.....kama atamaliza mwaka huu!
MgamboYataje.1= Magereza
2=?
3=?
Wana Jf