Yataje.1= Magereza
2=?
3=?
Unauhakika na unachosema? hata kama kaukuta kwahiyo ukikuta sheria inavunjwa na wewe unashiriki kuendelea kuvunja hiyo sheria hakika hizo ni akili za kibavicha kabisa.Kamishina kaukuta huo utaratibu na siyo kosa lake.
Unauhakika na unachosema? hata kama kaukuta kwahiyo ukikuta sheria inavunjwa na wewe unashiriki kuendelea kuvunja hiyo sheria hakika hizo ni akili za kibavicha kabisa.
Iliwezekana na DCI sembuse huyo wa magereza tu
Chondechonde mkuu usithubutu....utamenyeka kwelikwelii
Taja tu mkuu kama una uhakika ukiondoa magereza baada ya Mkuu mwenyewe kueleza
LugumiYataje.1= Magereza
2=?
3=?
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama siyo wa kutumbuliwa hivi hivi kama vibaraka wa CCM kwenye ngazi za Mkoa na Wilaya.
Nakuambia,hawezi Kutumbuliwa.
Tenda hizo , na yeye aliukuta huu utaratibu . Makampuni yaliyokuwa yatapata tenda kilio kwao . Nimekumbuka uniform za wafanyakazi wa Air Tanzania zilikuwa zinashonwa nje ya nchi , wakati shirika lilikuwa na ndege moja tu . Ila kusema kweli watu walikula sana pesa ya umma .
Na vilevile zikichangwa pesa za wahanga wa matetemeko zipeleke zinakohusika, usizitumie unavyotaka wewe. Pia unaponunua mali ya umma, kama kivuko cha Bi-Moyo usiende kununua scraper ambayo mwisho wa siku utaipaki. La mwisho usiuze nyumba za serikali kwa matakwa yako mwenyewe, kuuzia ndugu zako.Ndugu,
And this is exactly ambacho Magufuli anakipigia kelele kila siku ila watu wanalalamika eti uchumi umedorora. Uchumi upi huo?? Sasa kweli kama mtu aliyekuwa anapata tenda ya kushona sare za ATC Hong Kong.....leo hii si lazima alie?
It is really painful lakini at some point what Magufuli is doing was bound to happen. Si kwamba hiki kibano cha Magufuli wengine hakitufikii. We are all enduring this pain. Lakini what is the way forward?
Kuna walioona mbali. Tukaona hela ya umma ni haki ya elites! Mtu unaanzisha biashara ukiwa unalenga pesa ya umma (kupiga). Lazima biashara za namna hiyo zife kifo cha mende! maana leo unaambiwa lipa kodi (kitu ambacho hukutegemea kwa sababu shareholder wa kampuni alikuwa ni waziri Fulani)...leo unaambiwa mahesabu yakaguliwe na upeleke returns TRA....hukuwahi kuwaza hilo..I mean tumeishi kwa ujanja ujanja mno. Biashara nyingi Tanzania zilishamiri based on false assumptions. Very few and genuine business will survive in this period. And that will be the beginning of our journey.
Tuanze upya. Tujifunze kulipa kodi. Kuheshimu mali za umma. Ukipewa gari ya serikali kwa cheo chako. Uiogope kuipeleka kwenye harusi au kuibebea mkaa simply because you had a trip mkoani. Ukipewa madaraka siyo passport ya kujitajirisha. Ukipewa dhamana ya kufanya manunuzi..unataka 50% ya pesa iingie mfukoni mwako. How can we move on like this? Pathetic!
Success starts with discipline. Tuanzie hapo.
Huu ujinga mnapata wapi? Umeandika wakuu wa majeshi! DCI ni mkuu wa jeshi? La polisi au la jkt?Iliwezekana na DCI sembuse huyo wa magereza tu
Billion 62 unifomu za polisi, tena bora hizo za Magereza hata kama zimeagizwa kwa mtu binafsi lakini zililetwa!Yataje.1= Magereza
2=?
3=?