Jeshi la Magereza kuzindua kituo cha matibabu kwa waathirika wa madawa ya kulevya Kihonda Methadone Clinic

Mchinox

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
232
249
Hii ni hatua kubwa kwa jeshi letu la magereza...Hongera kwao.
---

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga leo Novemba 27, 2023 amezindua Kliniki ya Waraibu wa Dawa za Kulevya Kihonda (Kihonda Methadone Clinic) kinachomilikiwa na Jeshi la Magereza Mkoani Morogoro.

Katika halfla hiyo Viongozi mbalimbali wameshiriki akiwemo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, Mzee Ramadhani Nyamka.


1701102679845.jpeg

1701102729675.jpeg
 
Back
Top Bottom