Tangazo la kuitwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2023

MagerezaTanzania

New Member
Jun 1, 2023
1
4
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka, anawatangazia vijana walio orodheshwa katika tangazo ambao walifanya usaili wa kujiunga na Jeshi la Magereza kupitia Kamati za Usalama kuanzia ngazi ya Wilaya na Mikoa kwamba wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza na wanatakiwa kuripoti katika Chuo cha Magereza Kiwira, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya siku ya Jumamosi tarehe 03-06-2023 na Mafunzo yataanza tarehe 05-06-2023.

Wanatakiwa kuripoti awali katika Ofisi za Magereza Mikoa walipofanyia usaili au katika Ofisi yoyote ya Magereza iliyo karibu na anapoishi ili kupatiwa maelekezo ya mahitaji muhimu na utaratibu wa usafiri wakwenda Chuoni. View attachment 2642308View attachment 2642311View attachment 2642312View attachment 2642309View attachment 2642310View attachment 2642313View attachment 2642314View attachment 2642315
Screenshot_20230531-232504.jpg
Screenshot_20230531-232516.jpg
Screenshot_20230531-232526.jpg
Screenshot_20230531-232538.jpg
Screenshot_20230531-232549.jpg
Screenshot_20230531-232612.jpg
Screenshot_20230531-232626.jpg
 
Back
Top Bottom