Kuna Habari kuwa mkuu wa IT pale TRA ambaye Boss wake ni miongoni mwa waliokwisha kutumbuliwa ametoweka tangu juzi tarehe 8/07/2016 na hajulikani alipo.
Inasemekana aliondoka asubuhi kwenda kazini na hakurudi Nyumbani. Habari zinasema simu yake ilikuwa hewani mpaka majira ya saa 10 jioni.
My take! Labda Wazee wa EFD na 7% wameamua kuanza kupoteza ushahidi mapema.
Rais pamoja na kutumbua majipu awe na mkakati wa kuwalinda mashahidi na watoa taarifa.