Tetesi: Mkuu wa Idara ya Tehama (IT) wa TRA Makao Makuu Atoweka

Kuna Habari kuwa mkuu wa IT pale TRA ambaye Boss wake ni miongoni mwa waliokwisha kutumbuliwa ametoweka tangu juzi tarehe 8/07/2016 na hajulikani alipo.

Inasemekana aliondoka asubuhi kwenda kazini na hakurudi Nyumbani. Habari zinasema simu yake ilikuwa hewani mpaka majira ya saa 10 jioni.

My take! Labda Wazee wa EFD na 7% wameamua kuanza kupoteza ushahidi mapema.

Rais pamoja na kutumbua majipu awe na mkakati wa kuwalinda mashahidi na watoa taarifa.
Sijaridhika na " My take " yako , ushahukumu tayari .
 
Lugumi alishawahi kusema "game hili halihitaji hasira". jamani mpaka hapo tu bado hamuelewi?. ngoja siku tutamuuliza jpm kama hili jipu hakuliona?
 
Unajua rais alinishtua kuwa TAMISEMI kulikuwa na syndicate ya watu 'kuuza' ukurugenzi...!! Hili la kupotea huyu...nalo kizungumkuti
 
Tanzania hakuna kinachoshika hatamu zaidi ya siasa tena bora hata ingekuwa siasa Bali ni siasa za kiharamia we can't step ahead any how. Siasa za Kikomunisti zimepitwa na wakati tazaneni hata China na Urusi wenyewe waliotufundisha siasa za kiharamia wameachana Nazo. Pathetic
Hopeless and a failure stt
mkuu unaghazab
 
Back
Top Bottom