Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Mkuu jaribu kuangalia chanzo cha huu mkutano. Huu mkutano upo kwenye manifesto ya CCM ya uchaguzi ya mwaka jana. Sasa mwenzetu Zitto anatekeleza ilani ya Chadema au CCM?
Hata mimi Zitto simuhesabu kati ya watu makini, huyo ni opportunist.Kilichombeba Zitto hadi kufika alipo ni Zogo la Buzwagi ambalo haikuwa kazi yake pia ile iliibuliwa na Dr.Slaa yeye akakatiwa pande ndipo alipo toka hadi leo hana jipya zimebaki kelele kama mpiga filimbi wa HAMELINI.Kama ndiyo anajiandaa kushika nafasi kubwa hana chake CDM labda aende kwa wachovu CCM