asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,030
dah! raha tupu hapa.
Mh Halima Mdee naona pimples hakuna tena!Mambo ya proactiv ama?Karibu JF bidada, tulisikia unakuja, ikawaje tena?
Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kike?Mh Halima Mdee naona pimples hakuna tena!Mambo ya proactiv ama?Karibu JF bidada, tulisikia unakuja, ikawaje tena?
Hongereni cdm.
View attachment 50832
Makamanda....
Ha ha ha!Inawezekana ulikuwepo?Nasikia upo.Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kike?
Very low jmushi1.Mh Halima Mdee naona pimples hakuna tena!Mambo ya proactiv ama?Karibu JF bidada, tulisikia unakuja, ikawaje tena?
Hongereni cdm.
Hawa secret service wa chadema ?
Duh! Hii chama ni ya kujiunga nayo fasta.lolHawa secret service wa chadema ?
Samahani basi bana, i didnt mean it that way, how "very low"? ebu nieleze whats wrong?Ntaifuta posti hiyo ukinielewesha.Very low jmushi1.
unavoongea hivi mgeongea hivi wakati wa kampeni mgeshindwa lakini kiutu. Unavoonyesha uungwana humu fanya hivo kwa wananchi make wapiga kura ndo members wa humu pia.gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.
Naomba kuwasilisha! Update baadaye.
Joshua Nassari apokelewa kwa vifijo na nderemo ni kwenye uwanja wa Leganga...
wana Arumeru wasema Jini CCM limewatoka
CCM wakimbia saa saba ya usiku kwenda Dar Es Salaam
Wanaarumeru wamtafuta Lusinde bila mafanikio
View attachment 50813
View attachment 50814
View attachment 50815
View attachment 50816
View attachment 50817