Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.
Naomba kuwasilisha! Update baadaye.
Joshua Nassari apokelewa kwa vifijo na nderemo ni kwenye uwanja wa Leganga...
wana Arumeru wasema Jini CCM limewatoka
CCM wakimbia saa saba ya usiku kwenda Dar Es Salaam
Wanaarumeru wamtafuta Lusinde bila mafanikio
View attachment 50813
View attachment 50814
View attachment 50815
View attachment 50816
View attachment 50817
View attachment 50904
View attachment 50905
View attachment 50907