Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Chadema, Chadema
Chadema, Chadema
Chadema, Chadema, Peapleeeeeeeeeee..........z,... . . . . . . . . . . . . Poweeeeeeer!!
Aisee, ninaupenda huu wimbo, wee acha tu!!
Na nyie vibaraka wa magamba mnanuna nini! Niacheni niimbe kwa raha zangu! aalah!!!!
 
hii kitu inafanya vipi kazi zake,na mbona ipo kimya kimya??
Ilifunguliwa rasmi kama wiki mbili zilizo pita na ilirushwa na kituo ncha tekevisin ya Startv.....
Ni kwamba chama kitakuwa kina changiwa na wananchi wenye kuliko kutengemea wafadhili au ruzuku na kwa kuanzia tumeanzia Meru...wewe mwenyewe umeona matunda yake kila mkutano wa Chadema kwenye kampeni tulikuwa tuna changisha hatakama una mia ndiyo iliyokuwa inatumika kwenye kampeni......
 
FULL INDEPENDANCE IS AROUND THE CORNER. TANZANIA OUT OF CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) IS POSSIBLE.Hongereni wana Arumeru Mungu wa eliya na musa awe nanyi katika kuleta maendeleo ya kweli.
 
Hakika ni siku njema na ya mafanikio sana kwa CDM. Nadhan safari ya mabadiliko ya kweli kuelekea 2015 imeanzia ARUMERU.
Sasa tunaomba CDM mkoa wa DSM, mtumie fursa hii kumleta Mh. Joshua N Dar es Salaam ili atambulishwe rasmi. Swala hili liende sambamba na utambulisho wa M4C pamoja na fund raising ktk jiji hili.
Hii itakuwa na manufaa makubwa sana kisiasa, ikiwapo kuamsha ari ya mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi mdogo ujao hapa DSM (Sege...)

Wazo zuri. Moto uliowaka lazima uendelee na kukomazwa na kuni mpya kila wakati
 
Picture 028.jpg
Makamanda....
 
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.

una kauli mbovu wewe! Acha kucheza na hisia za watu. Hii nchi kikinuka huponi
 
View attachment 50833
Kazi kubwa kwa walinzi yaani Red Bridged ilikuwa wakati anaingia mbunge wa Arusha mjini kamanda Godbless Lema hakiaka uwanja ulilipuka kila mmoja akitaja kumshika mkono huku walinzi wakizuia ilipelekea kamera yagu kuvunjika kwa purukusha hizo....kumbe Lema hata akigombea Arumeru anachukua....hahahahahaha Nassari kaa chonjo mshikaji atachukua jimbo
 
kwakweli mimi sijala japo sikuwepo arumeru kimwili bt kiroho i was there, joshua umeinspire mamilion ya vijana tunaobelive in changes. honestly ev1 is tired of what is called ccm. congratulation brother
 
Naomba nitamke nililotamka siku ya uzinduzi wa kampeni.Ni hivi:Namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu hadi uchaguzi mkuu ujao,kisha nishuhudie kwa macho yangu Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais wa nchi hii.Baada ya hapo roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
 
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon

Mheshimiwa, nakupongeza sana kwa ustaarabu unaoonesha. Ingekuwa katika chaguzi zote mnakuwa hivi, hakika tusingehitaji green guard, red brigade nk, tungewaamini polisi na kuwaacha wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.
 
watu wengi wamepotea sababu ya kula Ban...watu kama kina FF,Mwita25,MS na wengineo wangechangamsha sana mijadala wakati wa uchaguzi wa arumeru..lets celebrate the trophy once again.

Hapana ngoja wale BAN zao. Mie REJAO alinichongea nikala BAN za siku 90. Najua machungu ya BAN. NGOJA WAJIFUNZE!
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.

Tunashukuru Mwigulu ulitushinda Igunga tumelipa Arumeru. At least wewe unajua siasa huyo mpuuzi Lusinde mwambia asome kwanza siasa inataka elimu sio kuropoka kama juha
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.

Mwigulu hapa nimekupenda.Umekuwa muungwana.Ila nikutonye kidogo yule Lusinde amewavua nguo,alichokuwa anakisema kiliishushia sana hadhi CCM.Huu ni ukweli ninakueleza kutoka ndani ya moyo wangu.Ufanyieni kazi.
 
Mkuu ni kweli msako unaendelea, maana kutakuwa na uchaguzi wa Segerea na majimbo mengine matano.
Mama Makinda ajiandae kuwapokea wabunge 30 keshokutwa.
Kudadekiiiiiiiii!!

Ktk nusu saa kuanzia sasa ntakuwa nimetia nanga hapo!

Huu msako natamani ingeendelea mpaka 2015 bila ya kupumzika!
Hakika mafisadi mwisho wao hauko mbali hata punje!!

Huu ni msako wa lango hadi lango!
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Uko sawa mkuu. Ukiona huwezi kuganda ndani ya barafu njia nzuri ni kujitoa kukimbilia joto. Ukiona yanazidi kuwa mkweli utakuwa huru.
 
Back
Top Bottom