MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,008
wakitoka hapa wanaenda mikoa ya pwani ili kuondoa kasumba ooooooooh chadema haikubaliki mikoa ya Pwani...
Pia inabidi mikoa ya kusini, lindi, mtwara. Mikoa mipya isisahaulike katika movement for change.
Kimbunga cha operation sangara kilionekana mwaka 2010, sasa M4C 2015 PATAKUWA HAPATOSHI.