chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,115
Mie nakipongeza CDM! Nassari karibu kwenye mapambano!
Kijana aachwe afanye kazi, Arumeru inachangamoto nyingi sana za msingi. Japo na jimbon kwangu kuna changamoto Arumeru kuna la ziada tatizo la ardhi sasa yakianza mambo ya mahakaman tutawanyima wameru matarajio yao kufikiwa
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.

Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.

Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
Achana na skaf, nakuomba uvue GAMBA na uvae GWANDA. Peoplesssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr