Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Kijana aachwe afanye kazi, Arumeru inachangamoto nyingi sana za msingi. Japo na jimbon kwangu kuna changamoto Arumeru kuna la ziada tatizo la ardhi sasa yakianza mambo ya mahakaman tutawanyima wameru matarajio yao kufikiwa

hongera kwa uungwana ila tunakuomba uwe na uchungu na nchi japo kidogo,punguzeni rushwa amayo wewe ni kinara wa kuisimamia katika chaguzi ndogo na kusaaisha vijana kuumizana kwa tindikali.

kaswali kadogo,je unaonaje lema akishindwa arusha mjini mtatia timu?
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.

Jitokeze kwenye Mkutano na uyaseme haya mbele ya kadamnasi. Nyie MAGAMBA hamuaminiki!
 
Kijana aachwe afanye kazi, Arumeru inachangamoto nyingi sana za msingi. Japo na jimbon kwangu kuna changamoto Arumeru kuna la ziada tatizo la ardhi sasa yakianza mambo ya mahakaman tutawanyima wameru matarajio yao kufikiwa

Yule swahiba wako aliyetia doa kampeni zenu LAZIMA AKAPATIWE BWANA jela kwa siasa zake za kitoto. Nawaonea huruma Wananchi masikini wa jimbo la mtera, pale wahesabu ZERO!
 
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.

Sawa Kamanda,tuendelee kuomba Mungu tuwe na ustaarabu huu wa kuheshimu uamuzi wa watu udumu hadi tutakapohitimisha 2015. Pia chapeni kazi ndani ya chama msiingie kwenye mtego wa kunyoosheana vidole.Kwa hatua ambayo chadema imefikia tunataka kupambana na CCM imara zaidi 2015 ili tutakapochukua dola muwe wapinzani imara.Katika uongozi wetu huko baadae tutahitaji upinzani imara utakaotupinga kwa hoja based on ideologies and not Insults

Once again,tuendelee kuijenga Tanzania kwa pamoja
 
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
 
Mkuu naweza kupata taarifa juu ya wale madiwani wa Arusha mjini waliofukuzwa na CDM ? mwenye kujua anijuze wajemeni!!!
 
Mimi niko hapa Roterdam Usa River ndio namsubiri Kuku wangu nimshushie na Tusker Bariiiiiiiiiidi nihuzurie mkutano kutoka kwa Muheshimiwa Mbunge Mteule Joshua Nassari A.K.A Dogo Janja!
 
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.

Achana na skaf, nakuomba uvue GAMBA na uvae GWANDA. Peoplesssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon

Nimekuelewa mkuu na pongezi kwa kumtambua Nassari. Pole kwa kampein ngumu. Tuijenge nchi yetu kwa pamoja, na msisite kumwelekeza Nassari mliyo yaona Arumeru kwa faida ya WanaArumeru na Tanzania kwa ujumla.
 
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon

Maneno kuntu Mheshimiwa! Punguzeni basi siasa majitaka huoni kuwa mnajishushia heshima sana
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom