Mkutano wa Mnyika Manzese. Haya ndiyo magari wanayopaswa kutumia wabunge

Hua namkubali sana kijana huyu kwani hazina ya CDM kwa sasa nakwa baadae zaidi
 
Mkutano wa CDM hapa Manzese nimefurahishwa sana na aina ya gari alilotinga nalo Mnyika mkutano. Toyota Vits T341BEN. Edapo wabunge wa CCM nao wangetumia hizi gari. Barabara zingependeza sana.
Kumbe ndio maana hafiki Kimara Bonyokwa ama Kilungule kwa Mkuwa!
 
Ila jamani mnyonge haki yake apewe tu!
Kwa mihela wanapata wabunge kuendesha Vitz yataka moyo.

Mnyika ni mfano bora kabisa cha msingi asibadilike tu, maana hata JK aliingiaga kwa gear ya kugomea kununua nyumba za serikali kumbe ni mbweha ndani ya ngozi ya kondoo
 
Back
Top Bottom