Mkutano wa marais wa AFRICA - MAREKANI! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa marais wa AFRICA - MAREKANI!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 23, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Watanzania wenzangu mi bado aijaniingia ama kama ntapata jawabu umuhimu wa kupeleka mkutano wa wake wa maraisi wa africa marekani ....hawa wote inaonekana wanapenda starehe sana sana ndio maana wakaamua hata kulikana bara lao la africa....swali langu moja mkutano wa wake za marais wa europe lini watakuja kuufanyia afriza;hivi mnafikiri hawajui ??kuna katanzania na kwingineko wanajua...very hard kwa kweli
  nyie wama mkimaliza kuzitumia hizo per diem embu tafakarini je tungeufanyia mkutano wetu africa tungeloose kiasi gani...kila la kheri uingereza wamewakaribisha mwakani
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  yes yaani gharama za kuwasafirisha wote hawa hadi US tena Calfornia! Tz utakuta delegation hata ya watu 5 au zaidi! Na wote wanakaa 5 Star!

  Sii heri tu wangefanya mkutano mdogo Afrika na hiyo pesa kujenga Wodi hata Moja ya Akina Mama??

  Ni aina tu ingine ya Ulaji!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Huu umasikini utaisha lini africa kwa hali hii.....yaani hata wamarekani kama umewaona walikuwa wanawashangaa na wengine kushindwa kuwauliza mmekosa sehemu ya kukutania...hii ni kashfa kubwa kwa africa...tunarudi na ule usemi wanaosema kwelii waafrica wana akili za makima
  mfano halisi mama yetu aliamka na ujumbe wa watu 15/...je unajua wametuamia sh ngapi just per diem....hata kama pesa zipo nyie wamama ni mfanowa kuigwa kwa wananchi wa nchini mwenu...ndio maana biblia usema mwanamke mpumbavu huaribu ndoa yake mwenye ..so mkiaribu nyie mmearibu taifa zima....kwa nini lakini.....ama mliamua kwenda kufanya shopping..mbona marekani mnakwenda na wazee wenu mara kwa mara kwa nini mnatuaibisha hivi lakini......................???????????????????
  je ni uwezo wa kushindwa kuandaa ama mlikimbilia kwenye pesa mpate kuhudumiwa na VI NGO vyenu visivyoisha kila anaeingia nakuja na yake...hamuoni aibu kwenda kulilia shida kwenye nchi nyingine ?????yyyy?????
  embu mkiwa mwishoni jitafakarini kwa maslahi ya taifa lenu mlichofanya ni vyema na kwa nini tusiandae africa yetu kwa mkutano ujao....nawatakia kila la kheri
  kila mbuzi atakula kwa urefu w kamba zake....
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  1st lady huenda kwa Protocol na yuko entitled kupata 1st class services!

  perdiem ya Tz kwa sasa kwa level ya walioenda nao ni USD 400-500 kwa siku!

  Sasa kama tz kama wakuliwa 15 na walikaa siku 5 basi walitumia dola 90,000 (Zaidi ya shilingi 100,000,000) yaani bila ya usafiri!

  100,000,000 Tshs inatosha kabisa kujenga wodi 1 ya kina mama kule Ruangwa!
   
 5. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  We have spending leaders, who even knows nothing nor cares about economic efficiency to tax payers and donor money.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  ipo siku waafrica tutaamka na kujua wapi tunatakiwa kwenda
  ni mapema sana kujua dhumuni la kufanyia mkutano wa wanawake wa waafrika marekani........kwa ufupi ukianza kuwachambua utaumia zaidi la muhimu wanaitaji maombi ya kusafishwa na laana za mababu zetu...wakishasafishika wanakuwa huru kweli kweli hata shetani akiwaambia sasa twende russia wanakuwa na uwezo wa kukataa
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  100,000,000 Tshs inatosha kabisa kujenga wodi 1 ya kina mama kule Ruangwa!
  MKUU MZALENDO HALISI UR RIGHT ....ILA SIJUI KAMA KABLA YA MATUMIZI KAMA HAYA WANAFANYAGA MAHESABU KWANZA.....NI WACHACHE...NEEMA YA MUNGU TU NDIO ITAKAYOWAOKOA
   
 8. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wakuu nilifikiria kila kitu kimelipiwa na USDFA?
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nimesikia kuna exchange program. wale wa EU nao watakuja kufanyia wao Somalia
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kuna exchange program. wale wa EU nao watakuja kufanyia wao Somalia
  __________________

  Mkuu mziwanda hii itasaidia kweli kukimbizana na maharamia;nafikiri wakinyakwa marais wawili watatu italeta ulinzi zaidi
   
 11. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tehetehetehetehetehetehe! Wale pirates watatoka baharini na kuhamia angani ili waziteke hizo ndege watakazopanda hao first ladies na kujipatia mamilioni ya dola kiulaini kabisa.
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yaani kama ulijua vile. Nimeona jinsi wanavyokutana na watu wa mashirika mbalimbali huko nahisi wanatafuta ufadhili wa NGO zao kweli.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,576
  Trophy Points: 280
  Mama anarudi kajaa si mchezo;nasikia alishtuka fasta alipoambiwa na mama mkapa kuwa mjanja hapa unapita;akampa na dili za fursa sawa kwa wote mama mmhh
  kazi kweli kweli....,
   
Loading...