KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 633
Duuu!! Kumbe huwa show wanasubiria hadi wamalize kuhadaa watu ndo linapigwa ili watu wasiwakimbie!!!
Wana hali ngumu sana. Mbezi mwisho (Dsm) alipokuja Samia, watu walikuwa wanalisogelea jukwaa wasanii wakipanda, wakishuka watu wanasonya na kuendelea na shughuli zao.