Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
Hiyo ni alama ya peace,kwani chadema mmejibinafsisha?
jifariji...that not peace...it's victory
Hiyo ni alama ya peace,kwani chadema mmejibinafsisha?
Iko hivyo nchi nzima , uongo wote ccm lakini ukweli ni chadema .
Mtakoma ,Magufuli kule ndo kwao,so anaweza fanya mkutano leo na asubuhi akaenda Chato kupiga kura,je nyie huyo babu hadi akafike Monduli lini kwa ajili ya kupiga kura?
Hiyo ni alama ya peace,kwani chadema mmejibinafsisha?
Yule Lowasa hawezi,afya haimruhusuUnaishi dunia ipi mpenzi wangu mzuri? Watu wanatoka Tanzania kwenda Afrika ya kusini kupata Lunch na kurudi mcha huo huo na kuendele na kazi sembuse Arusha na Mwanza. Muonee huruma Magufuli mwenye pacemaker.
Umemfanyia vipimo gani vyenye kutokuruhusiwa kuwa Rais wa Tanzania hebu vitaje hapa nakusubiri mpenzi.Yule Lowasa hawezi,afya haimruhusu