Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Magufuli kama anajiamini asingetumia hiyo m4c na kuhubiri madaa matatu tena kwa kurudiarudia point.
 
Naaam..hapo sasa ndio watanzania watafahamu definition ya Arusha ni Chadema
 
Naona mmeanzisha thread mapema ili ichangiwe sana!
 
mmebadilisha tarehe ili mpate muda wa kusafirisha watu kutoka Tanga na Kilimanjaro eeeh,

Kama hadi sasa hujajifunza hiyo ni culture ya chama gani basi bado hujajua kinachoendelea. Leo mlizingatia zaidi kusombelea stadium mkasahau monduli
 
11896043_439280776273482_620534892077090478_n.jpg


Hii nihatarisha Usalama wa Wananchi walio bebwa kwenye lori

11243638_1619925658277540_6823470039063086561_n.jpg


11951165_1619925731610866_2564080418381561796_n.jpg

Wana UKAWA wakisafirishwa kutoka Mikoani kwenda Dar

11904732_1619925878277518_193624351232439322_n.jpg


11954765_1619926598277446_7250682606156853672_n.jpg
 
Katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Sinoni, Kata ya Sinoni!

Jemedari Kamanda Mpambanaji (Mussa wa Tanzania) Edward Lowassa atahutubia maelfu ya wapiga Kura Arusha wafanyabiashara mama ntilie bodaboda kesho ndiyo kesho .

Angalizo: Hakutakuwa na Fiesta bali ni hoja na sera tu kuelekea Tanzania mpyaa kesho kutwa

Karibuni sana

Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania
 
Sera zenyewe ata nadi nani mana watu wakijaa mgombea wenu anashindwa kuongea
 
Mabadilikoooooooooo........?
Lowassaaaaaaaaaaaa.........?
 
....

....nimetinga Arachuga kwa sasa naipamba Subaru mabango ya Mussa wa Tanzania tukutane sinoni !!!!
 
Magufuli nilimsikia jana kwenye mkutano wake Arusha kuwa anawataka wagombea ubunge na waliokuwa wakirudisha kadi za CUF na CHADEMA, wasiendelee kujieleza kwani anataka kuwapisha wasanii jukwaani ili kutimiza malengo ya waliowengi.

Ina maana nyomi zile huwa zinalenga kupata burudani ya bure, wala sio kusikiliza sera za ccm.

Mabadiliko ni lazima.
 
Back
Top Bottom