Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Mkutano wa Lowassa Arusha Mjini Oktoba 8, 2015

Lowasa anawatoa jasho.

Ila huu ndo ukweli pombe hana hadhi ya kukaa ikulu, tuache utani ukimkuta pombe ikulu salama zitaenda kwa walinzi, wakidhani rais hayupo kumbe yupo bana ahaaaaa
 
siku hyo watu watajaa na A to Z haitafungwa so kama jana watu unaowaona unajua kabsa huyu si wa Arusha alafu wanasema maguful kafunika ..
 
Nafkri sku ya hukumu imekarbia snaaa kwahyo msimwe na presha hzi mwshon ni mbwembwe tu na kama kuna mtanzania mpaka xaa hz anasubri kampeni za sku zlzobaki na wingi wa watu ndo umshawishi nafkri hatufai kabxaaaaa
 
Halafu kwa nini haendi Mwanza?Naona anamtegea Magufuli aende kwanza,

Anasubiri kwanza CCM wasafirishe watu kwa malori na Magufuli akisha maliza kufanya pushapu na wananchi kupata burdani ya muziki ndio Lowassa anaingia kuwapatia sera za Kimaendeleo. "Simple tactics" That is how we do it.!!
 
Mtakoma ,Magufuli kule ndo kwao,so anaweza fanya mkutano leo na asubuhi akaenda Chato kupiga kura,je nyie huyo babu hadi akafike Monduli lini kwa ajili ya kupiga kura?
 
attachment.php

Hiyo ni alama ya peace,kwani chadema mmejibinafsisha?
 
Mtakoma ,Magufuli kule ndo kwao,so anaweza fanya mkutano leo na asubuhi akaenda Chato kupiga kura,je nyie huyo babu hadi akafike Monduli lini kwa ajili ya kupiga kura?
Unachekesha. Tuonyeshe mkutano wa magufuli monduli kama tulivyoona wa lowassa chato
 
Mimi nipo hapa mianzini nakula supu ya mbuzi kwasababu jana nimepiga hela kichizi!!!!! Jana walikuja kutuchukua huku kia tukapewa 15000 ya mahudhurio nikatoroka uwanjani nikaenda usariver wakaja kutubeba tena nikapata 15000 nyingine nikatoroka tena nikaenda karibu kiwanda cha A-Z wakaja kutuchukua tena nikapata 10000 nikatamani kampeni zisiishe nipige hela za escrow bila jasho
Maneno ya mfamaji,haishi kutapatapa
 
mmebadilisha tarehe ili mpate muda wa kusafirisha watu kutoka Tanga na Kilimanjaro eeeh,

Naona utakuwa trafic barabaran piga picha hayo magarii yatakayo wabeba wakaz wa tanga na kilimanjarooo . Poyee us waungwana tunaenda na lowasa bana
 
Back
Top Bottom