suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,211
Kwa dk ngapi?
Tyson alikuwa anapiga mtu kwa knock out kwa dakika ngapi?
Kwa dk ngapi?
atahutubia au atatusalimia tu
Tyson alikuwa anapiga mtu kwa knock out kwa dakika ngapi?
Duuu!! Kumbe huwa show wanasubiria hadi wamalize kuhadaa watu ndo linapigwa ili watu wasiwakimbie!!!
jamani kuna watu wapumbavu eti wantaka mtu anayeongea mda mrefu, kitu hicho hicho anarudiarudia na kuongea luga za kienyeji. Mbona watu wa ccm wanakuwa wajinga kiasi hicho au ndo mahaba ya kifreemanson: Cheki sera vipaumbele hivi: Elimu, afya, kilimo,miundombinu bora, viwanda pamoja na ulinzi na usalama: Kwa mtu ambaye yuko direct point za muhimu atatumia muda gani? Acha shobo mbulula wewe; ccm wanatakiwa watumie muda mwingi kuelezea wametekeleza nini? Changamoto ni zipi? Wamejipanga vipi? Na wanategemea kufanya nini. Hotuba kama hii inahitaji mchanganua mkubwa na mpana zaid zaid hat ya saa zima.kituko sasa wanamuweka diamond na derivatives zake anengue, anakuja bulembo mitusi na kejeli wakisindikizana na nape. Halafu zinafuata ahadi kibao ambazo hawakuzitekeleza nyuma. Huu sasa ni ujinga upumbavu na ushabiki usiokuwa na tija kwa taifa letu. Upinzani kuhutubia dakika sita mpaka tano sishangai maana wanaenda strait kwenye point maneno machache yakisubiri vitendo tu na hasa mgombea wao el. Big up huyo ndo mwanasiasa anayejua siasa sio nape, bulembo na magufuli kazi yao ni kula matapishi ya sera na swaga za upinzani. Ili kujua kuwa magufuli kichwani hakuna angalia anavoiga swaga: Mara mnipe "peoples power mimi", mara "magufuli for change" mara "mabadiliko yanakuja" mara sitawaangusha. Haya bwana yangu macho endeleeni na fiesta wakati walimu wanawadai tutaonana octoba 25. Inauma sana serikali kuweka kipaumbele kwenye wasanii kunengua.
....
....nimetinga Arachuga kwa sasa naipamba Subaru mabango ya Mussa wa Tanzania tukutane sinoni !!!!
Kwa dk ngapi?
Kwa dk ngapi?
Katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Sinoni, Kata ya Sinoni!
Jemedari Kamanda Mpambanaji (Mussa wa Tanzania) Edward Lowassa atahutubia maelfu ya wapiga Kura Arusha wafanyabiashara mama ntilie bodaboda kesho ndiyo kesho .
Angalizo: Hakutakuwa na Fiesta bali ni hoja na sera tu kuelekea Tanzania mpyaa kesho kutwa
Karibuni sana
Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania
Ile ilikuwa hasira tu,Magufuli akiingia ataifumua nishati na madini na Tanesco nzimaWamekuletea umeme!
Maana uliaga kambi ya ccm baada ya kukosa umeme! ! ! ?
Kwa dk ngapi?
Ni kwa nıni vodacom,Tigo na makampuni mengne yanatumıa wasanii na mizıki kwenye matangazo ya bıashara zao?Ni hv,hyo nı moja ya kazi ya sanaa.
mmebadilisha tarehe ili mpate muda wa kusafirisha watu kutoka Tanga na Kilimanjaro eeeh,
Watu wamesanuka. Ila tunaenda kujionea vioja vya ukawa, kujinyea, maigizo ya kuzimia etc
lowasa hajiamini,,,,mwambien arudie tena kote alikopita magufuli,,,,japo haitamsaidia sana pia.